Tofauti kati ya marekesbisho "Pogromu"

82 bytes added ,  mwaka 1 uliopita
no edit summary
 
[[Picha:Lviv pogrom (June - July 1941).jpg|thumb|Pogromu dhidi ya Wayahudi palehuko [[Lviv]] [[mwaka]] [[1941]].]]
'''Pogromu''' (kutoka [[rus.Kirusi]] погромить, (''pogromit'') - kuharibu vikali, kufanya fujo) ni neno la kutaja ghasia kali inayolengwa dhidi ya [[kundi]] maalumu kama vile wafuasi wa [[dini]] au [[kabila]] fulani.
 
Neno latokana na ghasia za fujo katika [[Urusi]] wa karne ya 19 ambako [[Wayahudi]] walishambuliwa, maduka na nyumba zao kuharibiwa na idadi ya watu kuuawa hovyo. Kwa hiyo neno "pogromu" lataja hasa mashambulio dhidi ya Wayahudi katika Ulaya. Lakini inatumiwa pia kwa mashambulio dhidi ya vikundi vingine.
 
[[Neno]] latokana na ghasia za fujo katika [[Urusi]] wa [[karne ya 19]] ambako [[Wayahudi]] walishambuliwa, [[Duka|maduka]] na [[nyumba]] zao kuharibiwa na [[idadi]] ya [[watu]] kuuawa hovyo. Kwa hiyo neno "pogromu" lataja hasa mashambulio dhidi ya Wayahudi katika [[Ulaya]]. Lakini inatumiwa pia kwa mashambulio dhidi ya vikundi vingine.
{{mbegu-historia}}
[[jamii:Siasa]]
[[Jamii:Dhuluma]]