Kaisari Wilhelm I : Tofauti kati ya masahihisho

23 bytes removed ,  miaka 3 iliyopita
no edit summary
d (Bot: Migrating 52 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q150652 (translate me))
No edit summary
 
[[Picha:Wilhelm1.jpg|thumb|right|Wilhelm I of Germany.]]
'''Kaisari Wilhelm I''' ([[Berlin]], [[22 Machi]] [[1797]] - Berlin [[9 Machi]] 1888) alikuwa [[mfalme]] wa [[Prussia]] kuanzia mwaka 1861 na kuanzia mwaka 1871 [[kaisari]] wa [[Ujerumani]]. Alizaliwa kwa jina la '''Wilhelm Friedrich Ludwig von Preußen''' tarehe [[22 Machi]] [[1797]] mjini [[Berlin]] alipokufa pia tar. [[9 Machi]] '''1888'''. Babake alikuwa mfalme [[Friedrich Wilhelm III wa Prussia]].
 
Tangu utoto alilelewa kama mwanajeshi akapewa cheo cha kijeshi kwa umri wa miaka 9. Mwaka 1814 alipokuwa na miaka 17 aliamrisha kikosi cha wanajeshi katika vita dhidi ya [[Napoleoni]]. Mwaka 1829 alimwoa Augusta binti wa mtemi wa Sachsen-Weimar-Eisenach wakapata watoto wawili na mwanawe [[Kaisari Friedrich III|Friedrich]] alimfuata baadaye kama mfalme na kaisari.
Pamoja na Bismrck na kulingana na umri mkubwa chini ya uongozi wa chansella huyu aliendelea kutawala hadi kifo chake mwaka 1888.
 
== Tazama pia ==
 
== Kurasa nyingine ==
* [[Ujerumani]]
* [[Dola la Ujerumani]]
== Marejeo ==
{{Reflist}}
{{mbegu-mwanasiasa}}
{{BD|1797|1888|Wilhelm I}}
[[Jamii:HistoryHistoria ofya EuropeUlaya]]
 
[[Jamii:KingsWafalme and queens ofwa Prussia]]
 
[[Jamii:Makaizari wa Ujerumani]]
{{bio-stub}}
[[Jamii:HouseNasaba ofya Hohenzollern]]
 
[[Jamii:History of Europe]]
[[Jamii:Kings and queens of Prussia]]
[[Jamii:German emperors]]
[[Jamii:House of Hohenzollern]]