Bamba la Uhindi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 2:
'''Bamba la Uhindi''' ni [[bamba la gandunia]] ndogo katika [[ganda la dunia]]. [[Bara Hindi]] yenye nchi za [[Uhindi]], [[Pakistan]], [[Bangla Desh]], [[Nepal]] pamoja na nchi visiwa [[Sri Lanka]] na [[Maledivi]] iko juu ya bamba hili.
 
==Mipaka na mabamba jirani==
Bamba la Uhindi limepakana na [[bamba la Ulaya-Asia]], [[Bamba la Australia]], [[Bamba la Afrika]] na [[bamba la Uarabuni]].
 
Line 7 ⟶ 8:
 
Bamba la Uhindi limepimwa kuwa na mwendo wa kuelekea kaskazini wa [[sentimita]] 5 kila mwaka. Linaendelea kusukuma dhidi ya bamba la Ulaya-Asia na kuikunja zaidi.
 
Chini ya [[Bahari Hindi]] linakutana na Bamba la Afrika kwenye [[mgongo kati wa Bahari Hindi]].
 
== [[Tetemeko la ardhi|Mitetemeko ya Ardhi]] ==