Bamba la Uhindi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Bamba Uhindi.PNG|thumb|300px|[[Bamba la gandunia]] la Uhindi katika mazingira yake]]
'''Bamba la Uhindi''' ni [[bamba la gandunia|bamba]] ndogodogo katika [[ganda la dunia]]. [[Bara Hindi]] yenye nchi za [[Uhindi]], [[Pakistan]], [[Bangla Desh]], [[Nepal]] pamoja na nchi visiwa [[Sri Lanka]] na [[Maledivi]] iko juu ya bamba hilihilo.
 
==Mipaka na mabamba jirani==
Bamba la Uhindi limepakana na [[bamba la Ulaya-Asia]], [[Bamba la Australia]], [[Bamba la Afrika]] na [[bamba la Uarabuni]].
 
LilijisukumaLilisogea chini ya bamba la Ulaya-Asia takriban miaka [[milioni]] 10 iliyopita na kusababisha kujikunja kwa ganda la dunia na kutokea kwa [[milima]] ya [[Himalaya]] na [[Karakoram]].
 
Bamba la Uhindi limepimwa kuwa na mwendo wa kuelekea [[kaskazini]] wa [[sentimita]] 5 kila [[mwaka]]. Linaendelea kusukumakusogea dhidichini ya bamba la Ulaya-Asia na kuikunjakulikunja zaidi.
 
Chini ya [[Bahari Hindi]] linakutana na Bamba la Afrika kwenye [[mgongo kati wa Bahari Hindi]].
 
== [[Tetemeko la ardhi|Mitetemeko ya Ardhi]] ==
Mwendo huu na msuguano kati ya mababmbamabamba husababisha mishtuko inayojitokeza kama [[tetemeko la ardhi]]. Kati ya mitetemeko mikubwa ilikuwakulikuwa na:
 
=== Tetemeko chini ya Bahari Hindi ya Krismasi [[2004]] ===
Tar.[[Tarehe]] [[26 Desemba]] [[2004]] lilitokea tetemeko kubwa la ardhi chini ya [[Bahari Hindi]] kwenye mstari ambako bamba la Uhindi linajisukumalinasogea chini ya bamba ndogodogo la Burma. Siku ile 1,200 [[km]] 1,200 za pembizo la bamba la Uhindi zilisogea mbele katika [[muda]] wa [[dakika]] chache kwa [[urefu]] wa takriban 15 [[m]] 15 chini ya [[bamba la Burma]]. Bamba la juu lilisukumwa na kupaa juu takriban mita 30. Mshtuko huuhuo ulianzisha [[wimbi]] kubwa chini ya bahari lililotokea juu kwa [[umbo]] la [[tsunami]] lililoua takriban [[watu]] 275,000.
 
=== Tetemeko la Kashmir [[2005]] ===
Tar.Tarehe [[8 Oktoba]] [[2005]] mwendo wa bamba la Uhindi chini ya Himalaya ulisababisha tetemeko la ardhi lililoua takriban watu 60,000 na kuharibu [[nyumba]] za watu [[milioni]] 2.5. [[Kitovu]] cha mshtuko kilikuwako karibu na [[Muzaffarabad]] katika eneo la [[Azad Kashmir]] upande wa KipakistaniPakistani yawa [[Kashmir]].
 
== Viungo vya Nje ==