Tofauti kati ya marekesbisho "Bamba la gandunia"

157 bytes added ,  miaka 2 iliyopita
no edit summary
No edit summary
 
[[Image:Mabamba gandunia (tectonic plates).png|thumb|350px|Mabamba gandunia ya dunia yetu.]]
'''Bamba gandunia''' ni [[jina]] lililobuniwa hivi karibuni<ref>Neno gandunia si kawaida bado, tunafuata hapo [[kamusi]] ya [[KAST]].</ref> kwa vipandemapande vinavyofanyayanayounda sehemu ya nje ya [[dunia]] yetu. Sehemu hiihiyo ya nje huitwa [[ganda la dunia]] na chini yake kuna sehemu ya dunia ambayo ni ya [[joto]] kiasi ya kwamba [[miamba]] na [[elementi]] zote zinapatikana katika hali ya [[giligili]] yaani kuyeyushwa. HiiHiyo sehemu ya nje ya dunia si kipandepande kimojamoja bali kuna vipandemapande mbalimbali kandokando vinavyoeleayanayoelea juu ya [[mata]] ya [[moto]] ndani yake. Unaweza kusoma zaidi katika makala kuhusu [[muundo wa dunia]].
 
Gandunia<ref>neno gandunia si kawaida bado, tunafuata hapo kamusi ya [[KASTGandunia]].</ref> ni [[elimu]] kuhusu [[ganda]] la dunia. [[Hoja]] laya [[sayansi]] kuhusu [[gandunia]] ni ya kwamba ganda la dunia limevunjika kwamapandemapande vipande mbalimbali vinavyoitwayanayoitwa [[bamba|mabamba]]. Kila bamba lapakanalinapakana na mabamba mengine. Mabamba yasukumwa na mikondo ya moto chini yaoyake kama [[majani]] yanayokaa usoni wamwa maji inayoanzayanayoanza kuchemka katika [[sufuria]]. Hivyo kila bamba lina mwendo wake wa pekee pamoja na au dhidi ya mabamba mengine. [[Tetemeko la ardhi]] ni [[dalili]] ya kwamba mabamba yamesuguana na hivyo kusababisha mishtuko tunayojua kama tetemeko la ardhi.
 
Mabamba hayahayo ni sehemu ya nje ya [[tabakamwamba]] (lithosferi). [[Tabaka]] hilihilo limevunjika katika vipandemapande vikubwamakubwa 7 na vingine vidogo vinavyoelea juu ya tabaka lenye hali ya [[kiowevu]] chenye mnato mzito.
 
Mabamba hayahayo yote yameonekana kuwa na mwendo wa [[mita|sentimita]] kadhaa (2 - 20 [[cm]] 2 - 20 zimepimwa) kwa [[mwaka]]. Mwendo huuhuo husababishwa na [[nguvu]] ya [[magma]] (mwamba moto wa kiowevu) inayopanda juu na kusukuma mabamba hayahayo.
 
==Mabamba makuu ya dunia==
*[[Bamba la Pasifiki]] - bahari ya [[Pasifiki]] - ni [[bamba la kibahari]]
 
Kati ya mabamba madogo nikuna:
* [[Bamba la Uhindi]]
* [[Bamba la Uarabuni]]
* [[Bamba la Juan de Fuca]]
* [[Bamba la Skotia]]
[[Image:Pangea animation 03.gif|thumb|240px|Mwendo wa mabamba: jinsi [[Pangaea]] ilivyoachanailivyosambaratika na kutokea kwa baramabara zaya leo.]]
 
==Mwendo wa mabamba==
Mwendo wa mabamba hayahayo umesababisha kutokea na kuvunjika kwa [[mabara]] katika [[historia]] ya dunia yetu.
 
[[Wataalamu]] hufikiri ya kwamba dunia ilikuwa na bara kubwa moja tu ([[Pangaea]]) miaka [[milioni]] 300 - 150 iliyopita iliyovunjika katika vipandemapande au mabamba mbalimbali.
 
Hata mabamba yaliyopo kwa sasa yanategemewayanatarajiwa kuendelea kuhamahama, kuvunjika au kupotea kabisa.
 
Kwa mfano Afrika iko katika mwenendo wa kupasuliwa kwenye mstari wa [[Bonde la Ufa]] yaani [[Afrika ya Mashariki]] inaelekea kujitenga na sehemu nyingine ya bara ikiwa bamba la pekee. Penye [[Bonde la Ufa la Afrika ya Mashariki|Bonde la Ufa la sasa]] bahari itatandiwaitatanda baada ya miaka milioni 20.
 
[[Bara Hindi]] au bamba la Uhindi inaendelea kusukuma dhidi yakugonga bamba la Asia na kujisukuma chini ya [[milima]] ya [[Himalaya]] - kuna uwezekano ya kwamba itaingia kabisa na kutoweka.
 
{{Lango|Jiografia}}