Tofauti kati ya marekesbisho "Grand Theft Auto: The Ballad of Gay Tony"

no edit summary
(Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Grand Theft Auto: Ballad of Gay Tony''' ni mchezo uliotengenezwa na Rockstar North na kuchapishwa na Rockstar Games kwa ajili ya [[PlayStation 3]...')
 
 
'''Grand Theft Auto: Ballad of Gay Tony''' ni [[mchezo]] uliotengenezwa na [[Rockstar North]] na kuchapishwa na [[Rockstar Games]] kwa ajili ya [[PlayStation 3]], [[Microsoft Windows]] na [[Xbox 360]] [[muundo]] wa [[Grand Theft Auto IV]].
 
Mchezo huu ulitolewa kwa mara ya kwanza kwa ajili ya [[Xbox 360]] mnamo [[tarehe]] [[29 Oktoba]] [[2009]], kabla ya kutolewa kwa ajili ya [[PlayStation 3]] na [[Microsoft Windows]] mnamo tarehe [[13 Aprili]] [[2010]].
 
'''Grand Theft Auto: Ballad of Gay Tony''' ni mchezo wa awamu ya kumi na nne katika mfululizo wa [[Grand Theft Auto]].
 
== Viungo vya nje ==
{{wikiquote}}
 
* {{official website|http://www.rockstargames.com/theballadofgaytony}}
* {{IMDb title|1450324}}