Vidonda vya tumbo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[File:Duodenal ulcer01.jpg|thumb|Mwonekano wa tumbo lenye vidonda.|261x261px]]
[[Picha:Depiction of a person suffering from Gastritis.png|border|right|frameless|284x284px|Dalili za vidonda vya tumbo]]
'''Vidonda vya tumbo'''(kwa [[Kiingereza]]: "gastritis") ni miongoni mwa [[magonjwa]] ya [[mfumo wa mmeng'enyo wa chakula]] katika [[mwili]] wa [[binadamu]]. Hivi ni vidonda ambavyo vinapatikana ndani ya [[tumbo]] la binadamu na huwapata sanasana [[watu wazima]] kuliko [[watoto]] wadogo. Vidonda vya tumbo husababishwa na [[tindikali]] inayopatikana ndani ya tumbo.