Jean Salumu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Jean Salumu.jpg|thumb|252x252px|Jean Salumu]]
'''Jean Salumu''' (alizaliwa [[26 Julai]] [[1990]]) ni [[mchezaji]] wa [[mpira wa kikapu]] wa [[Ubelgiji]] akichezea [[timu]] ya [[Italia]] iitwayo Pistoia Basket 2000. Yeye pia anawakilisha [[timu ya taifa]] ya mpira wa kikapu ya Ubelgiji.