Alvaro Morata : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Alvaro Morata Juventus Cropped.jpg|alt=Alvaro Morata Juventus|thumb|Alvaro Morata akiwa Juventus]]
[[Picha:Leicester 1 Chelsea 2 (37139292475).jpg|thumb|Alvaro Morata.]]
[[Picha:Chelsea 3 Newcastle 1 (38088802264).jpg|thumb|Alvaro Morata.]]
'''Álvaro Borja Morata Martín''' (kwa [[matamshi]] ya [[Kihispania]]: [alβaɾo moɾata]; alizaliwa [[23 Oktoba]] [[1992]]) ni [[mchezaji]] wa [[soka]] wa [[Hispania]] ambaye anacheza kama mchezaji[[mshambuliaji]] wa [[Atletico Madrid]] kwa mkopo kutoka kwa Klabu ya [[Uingereza]] na [[timu ya taifa]] ya [[Hispania]].
 
 
==Kazi ya klabu==
===Real Madrid===
Mstari 9:
 
===Juventus===
AlihamiaBaada ya kushinda Ligi ya Mabingwa mwaka [[2014]], alihamia [[Juventus]] kwa euro milioni 20 mwaka [[2014]], kushinda mara mbili ndani ya [[Serie A]] na [[Coppa Italia]] katika msimu wake wote kabla ya kununuliwa na [[Real madrid]] kwa mara nyingine kwa [[€]] 30,000,000.
 
===Kurudi Real Madrid===
Mnamo tarehe [[21 Juni]] [[2016]], Real Madrid ilimrejesha tena Morata kutoka katika [[klabu]] ya Juventus kwa € 30,000,000.Mechi yake ya kwanza ya ushindani ilikuwa mnamo tarehe [[9 Agosti]], na kushinda 3-2 dhidi ya Sevilla katika Kombe la Super Cup UEFA, na kubadilishana na Benzema baada ya dakika 62.GoliG oli lake la kwanza alilipata katika mechi waliyoshinda 2-1 dhidi ya Celta Vigo mnamo [[Agosti 27]] na baadaye kujiunga na [[klabu]] ya chelsea.
 
Alishinda La Liga na Ligi ya Mabingwa mnamo mwaka 2016-17 kabla ya kujiunga na [[Chelsea]] mnamo mwaka [[2017]] kwa ada ya rekodi ya klabu ya karibu [[milioni 60.]] Mnamo [[Januari]] [[2019]], alihamia [[Atlético Madrid]] kwa mkopo na angejiunga na kilabu kabisa tarehe [[1 Julai]] [[2020]].
 
===Chelsea===
Line 19 ⟶ 20:
 
Mnamo tarehe [[5 Novemba]] 2017, Morata alifunga goli katika mechi ambayo walikuwa nyumbani dhidi ya Manchester United kwa goli1-0. Na katika mechi nyinine ambayo Chelsea walishinda 2-0 dhidi ya Brighton & Hove Albion katika uwanja wa nyumbani Stamford Bridge.
 
 
===Msimu wa 2018-19===
Mstari 27:
Mnamo tarehe [[27 Januari]] [[2019]], Morata alirudi hispania katika [[klabu]] ya Atletico Madrid akijiunga na klabu kwa mkataba wa mkopo wa miezi 18.Alicheza katika ligi hiyo kwa mara ya kwanza mnamo Februari 3, katika mechi waliyokupoteza kwa kufungwa 0-1 mbali dhidi ya Real Betis.Alifunga goli lake la kwanza tarehe [[24 Februari]], katika ushindi wa nyumbani wa magoli 2-0 dhidi ya Villarreal.
 
 
{{mbegu-cheza-mpira}}