Bamba la Nazca : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Created by translating the page "Nazca-Platte"
 
No edit summary
Mstari 1:
'''Bamba la NaziNazca''' ni moja ya [[mabamba ya gandunia]] yaani vipande vya miamba vinavyounda [[ganda la Dunia]]. Bamba hili limepokea jina lake kutokana na mji wa bandari wa [[Peru]] wa [[Nazca ]].
 
Bamba la Nazca liko mbele ya pwani la magharibi la [[Amerika ya Kusini|Amerika Kusini]]. Ni moja ya mabamba yanayofunikwa kabia na [[Bahari kuu|bahari]],- isipokuwa kwa visiwa vichache, kama [[Visiwa vya Juan Fernandez|Visiwa vya Juan Fernández]] . Ba,ba hilo lina mwendo kuelekea polepole upande wa mashariki, linapogongana na [[Bamba la Amerika ya Kusini|bamba la Amerika Kusini]] ambalo ni bamba la kibara.