Bamba la Nazca : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Kipala alihamisha ukurasa wa Nazca-Platte hadi Bamba la Nazca
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:NazcaPlate.png|300px|thumb|Bamba la Nazca]]
'''Bamba la Nazca''' ni moja ya [[mabamba ya gandunia]] yaani vipande vya miamba vinavyounda [[ganda la Dunia]]. Bamba hili limepokea jina lake kutokana na mji wa bandari wa [[Peru]] wa [[Nazca]].
 
Bamba la Nazca liko mbele ya pwani la magharibi la [[Amerika ya Kusini|Amerika Kusini]]. Ni moja ya mabamba yanayofunikwa kabia na [[Bahari kuu|bahari]],- isipokuwa kwakuna [[visiwa]] vichache, kama [[Visiwa vya Juan Fernandez|Visiwa vya Juan Fernández]] . BaEneo lake ni takribani kilomita za mraba 15,ba600,000<ref>{{cite web|url=http://geology.about.com/library/bl/blplate_size_table.htm|title=Sizes of Tectonic or Lithospheric Plates|author=|date=|work=About.com Geology|accessdate=4 January 2016}}</ref>.

Bamba hilo lina mwendo kuelekea polepole upande wa mashariki, linapogongana na [[Bamba la Amerika ya Kusini|bamba la Amerika Kusini]] ambalo ni bamba la kibara.
 
Katika mgongano huo bamba la Nazca lilisukumwa chini ya bara la Amerika Kusini na kuzama hapo kwenye [[koti la Dunia]].
 
Tabia ya kawaida ya maeneo haya ni [[Tetemeko la ardhi|matetemeko ya ardhi]] ya kina kikubwa cheye vitovu vya mita mamia<ref>Darwin Gap quake will shake Chile again [https://www.newscientist.com/article/dn20048-darwin-gap-quake-will-shake-chile-again.html], New Scientist, 30 Jan 2011, accessed 8 Feb 2011.</ref>.
 
Kwenye mpaka ambako bamba moja linazama hutokea [[mifereji ya bahari]] kama vile Mfereji wa Atacama (kina hadi mita 8,065) na Mfereji wa Peru (kina hadi m 6369). Wakati huo huo, bara la Amerika Kusini liliinuliwa. Kama matokeo ya kusogezwa kwa mabamba [[milima ya Andes]] ilikunjwa kwenye pwani la magharibi ya Ameria Kusini hadi kimo cha mita 6,962.
 
== Mipaka ==
 
Kwa upande wa kaskazini, bamba la Nazca linapakana na [[ Cocos |bamba la Cocos]], upande wa magharibi na [[bamba la Pasifiki]] na upande wa kusini na [[bamba la Antaktiki]]. Kwenye mashariki, linakutana na bara la Amerika Kusini likizama chini yake.
 
== Marejeo Tanbihi==
<references />
 
 
== Marejeo mengine ==
*[http://www.extremescience.com/PlateTectonicsmap.htm Extreme Science site: "A Lesson in Plate tectonics"] The basics explained.
*[http://www.earth.columbia.edu/news/2002/story12-05-02.html Galapagos rise junction (map)]
*[http://www.pmel.noaa.gov/vents/s-epr.html Juan Fernandez and Easter microplate (map)]
*Muawia Barazangi and Bryan L. Isacks, "Spatial distribution of earthquakes and subduction of the Nazca plate beneath South America" in ''Geology'' Vol. 4, No. 11, pp.&nbsp;686–692. [http://www.gsajournals.org/gsaonline/?request=get-abstract&doi=10.1130%2F0091-7613(1976)4%3C686:SDOEAS%3E2.0.CO%3B2 Abstract]
*Mark Andrew Tinker, Terry C. Wallace, [[Susan L. Beck]], Stephen Myers, and Andrew Papanikolas, "Geometry and state of stress of the Nazca plate beneath Bolivia and its implication for the evolution of the Bolivian orocline" in ''Geology'' '''24'''(5), pp.&nbsp;387–390 [http://www.gsajournals.org/gsaonline/?request=get-abstract&doi=10.1130%2F0091-7613(1996)024%3C0387:GASOSO%3E2.3.CO%3B2 Abstract]
*Cahill, T. and B. Isacks (1992). "Seismicity and shape of the subducted Nazca plate." ''Journal Geophysical Research'' '''97''' (12)
*James, D. (1978). "Subduction of the Nazca plate beneath Central Peru." ''Geology'' '''6''' (3) pp 174&ndash;178
*[http://www-odp.tamu.edu/publications/170_SR/VOLUME/CHAPTERS/SR170_07.PDF Martin Meschede and Udo Barckhausen, "Plate tectonic evolution of the Cocos-Nazca spreading center"]
 
{{Tectonic plates}}
{{Central America plates}}
 
{{coord|15|00|00|S|85|00|00|W|region:PE_type:city(23000)_source:kolossus-ptwiki|display=title}}
 
[[Jamii:Gandunia]]
[[Jamii:Pasifiki]]