Bamba la Nazca : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:NazcaPlate.png|300px|thumb|Bamba la Nazca]]
'''Bamba la Nazca''' ni moja kati ya [[mabamba ya gandunia]] yaani vipandemapande vyaya miamba vinavyoundayanayounda [[ganda la Dunia]]. [[Bamba]] hilihilo limepokea [[jina]] lake kutokana na [[mji]] wa [[bandari]] wa [[Peru]] wa [[Nazca]].
 
Bamba la Nazca liko mbele ya [[pwani]] la [[magharibi]] la [[Amerika ya Kusini|Amerika Kusini]]. Ni moja ya mabamba yanayofunikwa kabiakabisa na [[Bahari kuu|bahari]], isipokuwa kuna [[visiwa]] vichache, kama [[Visiwa vya Juan Fernandez|Visiwa vya Juan Fernández]]. Eneo lake ni takribani [[kilomita za mraba]] 15,600,000<ref>{{cite web|url=http://geology.about.com/library/bl/blplate_size_table.htm|title=Sizes of Tectonic or Lithospheric Plates|author=|date=|work=About.com Geology|accessdate=4 January 2016}}</ref>.
 
Bamba hilo lina mwendo kuelekea polepole upande wa [[mashariki]], linapogongana na [[Bamba la Amerika ya Kusini|bamba la Amerika Kusini]] ambalo ni [[bamba la kibara]].
 
Katika mgongano huo bamba la Nazca lilisukumwa chini ya bara la Amerika Kusini na kuzama hapo kwenye [[koti la Dunia]].
 
[[Tabia]] ya kawaida ya maeneo hayahayo ni [[Tetemeko la ardhi|matetemeko ya ardhi]] ya [[kina]] kikubwakirefu cheye vitovu vya [[mita]] mia mamiakadhaa<ref>Darwin Gap quake will shake Chile again [https://www.newscientist.com/article/dn20048-darwin-gap-quake-will-shake-chile-again.html], New Scientist, 30 Jan 2011, accessed 8 Feb 2011.</ref>.
 
Kwenye mpaka ambako bamba moja linazama hutokea [[mifereji ya bahari]] kama vile [[Mfereji wa Atacama]] (kina hadi mita 8,065) na [[Mfereji wa Peru]] (kina hadi m 6369). Wakati huo huohuohuo, bara la Amerika Kusini liliinuliwa. Kama matokeo ya kusogezwa kwa mabamba [[milima ya Andes]] ilikunjwa kwenye [[pwani]] laya magharibi ya AmeriaAmerika Kusini hadi [[kimo]] cha mita 6,962.
 
== Mipaka ==
Kwa upande wa [[kaskazini]], bamba la Nazca linapakana na [[ Cocos |bamba la Cocos]], upande wa [[magharibi]] na [[bamba la Pasifiki]] na upande wa [[kusini]] na [[bamba la Antaktiki]]. Kwenye mashariki, linakutana na bara la Amerika Kusini likizama chini yake.
 
==Tanbihi==
<references />
 
 
== Marejeo mengine ==
Line 28 ⟶ 27:
*James, D. (1978). "Subduction of the Nazca plate beneath Central Peru." ''Geology'' '''6''' (3) pp 174&ndash;178
*[http://www-odp.tamu.edu/publications/170_SR/VOLUME/CHAPTERS/SR170_07.PDF Martin Meschede and Udo Barckhausen, "Plate tectonic evolution of the Cocos-Nazca spreading center"]
 
{{Tectonic plates}}
{{Central America plates}}
 
{{coord|15|00|00|S|85|00|00|W|region:PE_type:city(23000)_source:kolossus-ptwiki|display=title}}