Urithi wa Dunia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:World Heritage Logo global.svg|250px|thumb|Nembo laya kamatiKamati ya Urithi wa Dunia ya UNESCO.]]
'''Urithi wa Dunia''' ni maeneo yenye thamani kubwa ya ki[[utamaduni]] au ki[[mazingira]] duniani yanayoangaliwa na shirika la [[UNESCO]].
 
Hadi mwisho wa mwakaJulai [[20142019]] sehemu 10071,121 katika nchi 161167 zimekubaliwa. Nchi inayoongozazinazoongoza kwa wingi wa mahali ni [[Italia]] yenyena [[China]] zenye 55 kila 5Omoja, ikifuatwazikifuatwa na [[ChinaHispania]] (4748), [[Ujerumani]] (46) na [[HispaniaUfaransa]] (4445).
 
[[Afrika]] ina mahali 9196 (8.56%).
 
Orodha rasmi ya UNESCO ina mahali 779869 pa urithi wa dunia wa kiutamaduni na mahali 197213 pa urithi wa dunia wa kimazingira, mbali ya 3139 pa mseto.
 
Mwanzo wa jitihada za kuhifadhi urithi wa dunia ulikuwa ujenzi wa [[bwawa]] la [[Assuan]] lililoelekea kuzamisha majengo mbalimbali ya utamaduni wa [[Misri]] na [[Nubia]] wa kale chini ya [[maji]]. Wakati ule UNESCO ilifaulu kukusanya [[pesa]] ili [[hekalu la Abu Simbel]] liweze kuhamishwa mlimani kabla ya kujaa kwa bwawa.