Michoro ya Kondoa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Removing "Kondoa.jpg", it has been deleted from Commons by Jcb because: Missing permission as of 24 April 2016 - Using VisualFileChange..
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Kondoa mchoro mwambani 2012 Tamino.jpg ‎|300px|thumbnail|Mchoro mwambani: wawindaji <sup><small>(picha ya Tamino Boehm)</small></sup>]]
 
[[Picha:Kondoa mchoro mwambani 2012 Tamino.jpg ‎|300px|thumbnail|Mchoro mwambani: wawindaji <sup><small>(picha ya Tamino Boehm)</small></sup>]]
'''Michoro ya Kondoa''' ni [[kundi]] la [[michoro ya miambani]] katika [[wilaya]] ya [[Kondoa]], [[mkoa]] wa [[Dodoma]] nchini [[Tanzania]].
 
Mapango au nusumapango haya zaidi ya 150 yanapatikana mfululizo kwenye vilima vinavyotazama mtelemko wa [[Bonde la Ufa la Afrika ya Mashariki]]. Mfululizo huo una urefu wa kilometa 9 na uko kama kilometa 20 kaskazini kwa Kondoa.
Mstari 22:
Mahali pazuri pa kuangalia michoro kadhaa kwa urahisi ni [[kijiji]] cha [[Kolo]] kilichopo kwenye [[barabara kuu]] kati ya [[Babati (mji)|Babati]] na [[Kondoa (mji)|Kondoa]]. Kutoka hapo si mbali hadi sehemu kadhaa penye michoro. Wageni wakatakiwa kujiandikisha kwenye kituo cha hifadhi ya mambo ya kale katika kijiji.
 
==ViungoTazama vya njepia==
* [[Orodha ya Urithi wa Dunia katika Afrika]]
 
*[http://whc.unesco.org/en/list/1183 Taarifa kutoka UNESCO]
*[http://gombeexpeditions.co.tz/index.php?option=com_content&task=view&id=31&Itemid= Maelezo ya undani kwenye tovuti ya Gombe Expeditions]
 
==Kujisomea zaidi==
*[http://www.roughguides.com/website/travel/destination/content/default.aspx?titleid=93&xid=idh460169072_0266 roughguides.com]
 
==Viungo vya nje==
*[http://whc.unesco.org/en/list/1183 Taarifa kutoka UNESCO]
*[http://gombeexpeditions.co.tz/index.php?option=com_content&task=view&id=31&Itemid= Maelezo ya undani kwenye tovuti ya Gombe Expeditions]
{{coord|4|43|28|S|35|50|02|E|display=title|region:TZ-03_type:landmark_source:dewiki}}
{{mbegu-jio-TZ}}
 
[[Jamii:Mahali pa Urithi wa Dunia katika Tanzania]]
[[Jamii:Usanii wa Tanzania]]