Tofauti kati ya marekesbisho "Victoria Falls"

128 bytes added ,  mwaka 1 uliopita
no edit summary
 
[[Picha:VicFalls.jpg|thumb|right|250px|MaporomokaMaporomoko ya Viktoria.]]
[[Picha:Victoria Falls from the air 1972.jpg|thumb|250px|Mosi oa Tunya.]]
'''Victoria Falls''' au '''Maporomoko ya Viktoria''' ('''Mosi-oa-Tunya''') ni [[Maporomoko ya maji|maporomoko]] ya [[mto Zambezi]] mpakani wamwa [[Zambia]] na [[Zimbabwe]].
 
[[Mto wa Zambezi]] mwenyewenye [[upana]] wa [[mita]] 1170 unafika penye ngazi ya [[mwamba]] na [[maji]] yote yaanguka [[kimo]] cha takriban mita 110 yanapoendelea katika kanali[[mfereji]] yawa [[mwamba]] mwenyewenye upana wa 120 m 120 pekee. Maporomoko hayahayo ni makubwa kabisa katika Afrika.
 
==Jina==
Wenyeji wameiitawameyaita "'''mosi oa tunya'''" (moshi wa ngurumo) kwa sababu nyunyizamanyunyizo yawa maji yaonekana juu ya maporomoko kama [[wingu]] la [[moshi]] na [[sauti]] ya anguko la maji yasikika mbali.<ref name="WDL">{{cite web |url = http://www.wdl.org/en/item/550/ |title = Victoria Falls |website = [[World Digital Library]] |date = 1890-1925 |accessdate = 2013-06-01 }}</ref>
 
[[Jina]] la Victoria Falls limetokana na [[David Livingstone]] aliyekuwa mzungu[[Mzungu]] wa kwanza wa kuona maajabu hayahayo [[mwaka]] [[1856]]. Alichagua jina hilihilo kwa [[heshima]] ya [[malkia]] [[Viktoria wa Uingereza]].<ref name="WDL"/>
 
Tangu mwaka [[1989]] Victoria Falls imepokelewaimepokewa katika orodha laya "[[urithi wa dunia]]" wa [[UNESCO]].
 
== Utalii ==
Kuna [[miji]] miwili inayopokea wageni wanaopenda kutembelea maporomoko hayahayo. Upande wa Zambia kuna mji wa [[Livingstone (mji)|Livingstone]] na upande wa Zimbabwe ni mji wa [[Victoria Falls (mji)|Victoria Falls]].
 
Victoria Falls iliwahi kuwa kitovu hasa lakini tangu kuporomoka kwa uchumi wa Zimbabwe chini ya serikali ya Mugabe idadi kubwa ya watalii hufika upande wa Zambia.
 
Victoria Falls iliwahi kuwa [[kitovu]] hasa, lakini tangu kuporomoka kwa [[uchumi]] wa Zimbabwe chini ya [[serikali]] ya [[Mugabe]] [[idadi]] kubwa ya [[watalii]] hufika upande wa Zambia.
 
== Tazama pia ==