Mahmud II : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Created by translating the page "Mahmud II"
 
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:MahmutII.jpg|thumb| Mahmud II ]]
'''Mahmud II''' ( [[Kituruki|Kituruki cha OsmaniKiosmani]] : محمود ثاني Mahmud-ı sānī) ( [[20 Julai]] [[1785]] - [[1 Julai]] [[1839]] ) alikuwa [[Usultani|Sultani]] wa 30 wa [[Milki ya Osmani]] aliyetawala miaka 31 kuanzia 1808 hadi kifo chake. Mahmud alikuwa mwana wa [[Abdul Hamid I|Sultani Abdül Hamid I]]. Wakati wake kama sultani inakumbukwa kwa kushindwakutoka kwa UturukiUgiriki na mataifaSerbia yakutoka Ulayakwa zaidiutawala kwawa mabadilikoKiosmani, makubwaongezeko la mamlaka ya mtawala wa Misri [[Sheria|kisheriaMuhamad Ali Pasha]] na kuanzishwa kwa matengenezo ya kisiasa, [[Sheria|kisheria]], [[Jeshi|kijeshi]] aliyosababisha.na kiuchumi kama jaribio la kupunguza udhaifu wa milki yake kulingana na mataifa ya Ulaya.
 
Alielewa umuhimu wa majaribio ya kubadilisha mfumo wa kijeshi ya Waosmani yaliyoanzishwa na Sultani Selim III, mtangulizi na binamu wake. Selim aliwahi kuuawa na wanajeshi wa [[Janisari]]. Wajanisari walikuwa kikosi cha jeshi walowahi kuwa na sifa kubwa karne 2 zilizopita walipozawadishwa kwa haki nyingi na mapato makubwa; ila tu katika mazingira ya karne ya 18 na 19 uwezo wao wa kijeshi ulizidi kupotea. Waliangalia kila badiliko kama tishio kwa uwezo na heshima yao pia waliwahi kupindua masultani mbalimbali waliojaribu kupunguza haki zao na kutumia mapato kwa vikosi vilivyolingana na majeshi ya Ulaya. Mwaka 1826 alikuta tena upinzani wa Wajanisari dhidi ya kuanzishwa kwa vikosi vipya vya jeshi; hapa Mahmud aliamua kutumia nguvu yote akaangamiza makambi yao kwa mizinga ya kisasa; Wajanisari maelfu waliuawa na kosi lote lilifutwa.
Mnamo 1812 makubaliano ya amani yalitiwa saini huko Bucharest na Warusi. Mnamo 1813, kwa msaada wa [[Muhammad Ali Pasha|Muhamedi Ali Pasha]], aliwashinda Wahhabis, ambao walichafua maeneo matakatifu na matabaka huko Makka na Madina. Mnamo 1821 mapinduzi ya Uigiriki yalizuka na kuwauwa maelfu ya raia wa Kiislamu. Mnamo 1826 mapinduzi ya Uigiriki yangeweza kusisitizwa.
 
Mahmud alirithi vita dhidi ya [[Urusi]] ambako Waosmani walishindwa hatimaye, walilazimishwa kukabidhi maeneo ya [[Moldavia]] ya leo kwa Urusi.
 
Baada uvamizi wa Wasaudia katika Makka na Madina alimtuma gavana wa Misri kurudisha miji chini ya mamlaka yake na hadi mwaka 1818 emirati ya kwanza ya familia ya Saudi ilibomolewa.
 
Katika sehemu za Ulaya za milki yake aliona majaribio ya wakazi Wakristo kujitafutia uhuru wao. Baada ya vita kali alipaswa kuvumilia uhuru wa Ugiriki na nusu uhuru wa Serbia kwenye mwaka 1830. Wakati huohuo sultani alipaswa kukubali uvamizi wa Ufaransa katika [[Aljeria]] iliyokuwa na hali ya jimbo la Waosmani la kujitawala.
 
Tangu mwaka 1830 sultani alipambana na uasi wa [[Muhammad Ali Pasha|Muhamad Ali Pasha]], gavana na mtawala wa Misri. Kisheria alikuwa gavana ya sultani, hali halisi alitawala Misri kama ufalme wake. Aliwahi kutekeleza mabadiliko katika siasa, uchumi na jeshi hivyo jeshi lake liliwez kushinda lile la sultani. Mwaka 1832 jeshi la Muhamad Ali Pasha lilivamia Anatolia na kuelekea Istanbul. Mahmud II aliokolewa tu kwa kuingilia kwa Urusi na Uingereza waliomlazimisha Mmisri kwa matishio kurudisha jeshi lake kwake.
 
Ushindi wa maadui dhidi yake uimwonyesha udhaifu wa milki yake. Mahmud alianzisha mabadiliko mengi. Aliimarisha mamlaka ya serikali kuu juu ya magavana wa majimbo. Aliajiri mafundi kutoka Marekani ili watengeneza manowari na meli za kisasa katika Uturuki. Aliagiza matumizi ya vitabu vya mafundisho kutoka Uingereza katika shule za jeshi ambako maafisa wote walipaswa kusoma. Alialika washauri wanajeshi kutoka nchi mablimbali za Ulaya.
 
Mahmud II alianza kutembelea mwenyewe majimbo ya milki yake, hatua ambayo haikutokea kabla yake.
 
Alianzisha posta. Aliunda idara ya sheria katika serikali maana hakuacha tena kazi yote ya mahakam mkononi mwa maimamu wa kidini. Alianzisha shule za kwanza zisizokuwa kidini tu.Alianzisha pia vyuo vya watumishi wa serikali na matibabu.
 
Aliaga Dunia mwaka 1839, wakati ambako jeshi la Muhamad Ali Pasha wa Misri lilipigana tena na jeshi la sultani.
 
==Marejeo==
{{commonscat-inline}}
* Levy, Avigdor. "The Officer Corps in Sultan Mahmud II's New Ottoman Army, 1826–39." ''International Journal of Middle East Studies'' (1971) 2#1 pp: 21-39. [http://psi424.cankaya.edu.tr/uploads/files/Levy,%20Officers%20Corps%20in%20Mahmud%20II%27s%20Army%20(1971).pdf online]
* Levy, Avigdor. "The Ottoman Ulema and the military reforms of Sultan Mahmud II." ''Asian and African Studies'' 7 (1971): 13-39.
* Levy, Avigdor. "The Ottoman Corps in Sultan Mahmud II New Ottoman Army." ''International Journal of Middle East Studies'' 1 (1971): pp 39+
* Palmer, Alan. ''The Decline and Fall of the Ottoman Empire'' (1992) ch 6
 
Klabu ya Janissaries ilimalizika kabisa na ghasia maarufu. Wanahistoria hurejelea tukio hili kama mchakato wa kufanya miujiza. Mnamo 1827 vita na Urusi vilianza tena. Mnamo 1829 mkataba wa amani ulihitimishwa huko Edirne. Katika miaka ya 1831 na 1839, ghasia ziliibuka nchini Misri. Mnamo Julai 189 Sultan Mahmud II alikufa kama athari mbaya ya maisha yaliyompata na yeye misiba aliugua kifua kikuu na akafa. Mwili wake ulizikwa huko Türbe huko Divanyolu, (Ruhuna Fatiha / Rehema ya Mungu juu ya roho yake! ). Mahmud II alijitolea kwa kazi nyingi za kiwango cha juu kabisa katika uwanja wowote. Alifungua shule nyingi mpya, na akaamuru kujenga majengo makubwa. Misikiti yote mikubwa ya Istanbul ilibadilishwa kwa wakati wake. Daraja hilo lilijengwa Unkapani wakati wake. Huko Makka, alikuwa ameijenga madrasa na kurekebisha Msikiti Mkubwa (Mescid-i Aksa) katika mji mtakatifu wa Yerusalemu. Mshairi na Sümbülzâde Vehbi Kececizâde Izzet Molla alikufa wakati huu.
[[Jamii:Waliofariki 1839]]
[[Jamii:Waliozaliwa 1785]]