Papai : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d wikidata interwiki
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Koeh-029.jpg|thumb|Papai.]]
'''Papai''' ni [[tunda]] la [[mpapai]] ("Carica papaya"), [[mti]] wa [[familia (biolojia)|familia]] [[Caricaceae]]. UnaasiliUna [[asili]] ya [[Amerika ya Kusini]] na [[Amerika ya Kati|ya Kati]] na unakuzwa huko [[Meksiko]], [[karne]] kadhaa kabalakabla ya kuibuka kwa tamaduni mpya za huko [[Amerika]].
 
Ni mti mrefu wenye [[shina]] la [[urefu]] wa [[mita]] 5 mpaka 10, wenye [[majani]] yaliojipangayaliyojipanga yaliojizungushayaliyojizungusha na kujishikiza juu kwenye shina la mitimti, shina kwa upande wa chini huwa na makovu mengi kuonesha sehemu ambayo majani yalikuwa. majaniMajani ya mpapai ni makubwa sm 50 – 70 kwa [[upana]], [[maua]] yake ni madogo na hutokea sehemu yalipochomoza majani, hutengeneza tunda papai lenye urefu wa sm 15- 45, na upana wa sm10sm 10 – 30. Tunda huiva pale linapokuwa laini ( kama vile parachichi au zaidi) na ngozi yake inapokuwa na ngozi yake inapo karibia rangi ya chungwa ladha ya chungwa hukamilana na ile kati ya nanasi na peasi, ingawa huwa ya utulivu bila ya uchungu wowote.
'''Papai''' ni [[tunda]] la [[mpapai]] ("Carica papaya"), [[mti]] wa [[familia (biolojia)|familia]] [[Caricaceae]]. Unaasili ya [[Amerika ya Kusini]] na [[Amerika ya Kati|ya Kati]] na unakuzwa huko [[Meksiko]], karne kadhaa kabala ya kuibuka kwa tamaduni mpya za huko [[Amerika]].
 
Ni mti mrefu wenye shina la urefu wa mita 5 mpaka 10, wenye majani yaliojipanga yaliojizungusha na kujishikiza juu kwenye shina la miti, shina kwa upande wa chini huwa na makovu mengi kuonesha sehemu ambayo majani yalikuwa majani ya mpapai ni makubwa sm 50 – 70 kwa upana, maua yake ni madogo na hutokea sehemu yalipochomoza majani, hutengeneza tunda papai lenye urefu wa sm 15- 45, na upana wa sm10 – 30. Tunda huiva pale linapokuwa laini ( kama vile parachichi au zaidi) na ngozi yake inapokuwa na ngozi yake inapo karibia rangi ya chungwa ladha ya chungwa hukamilana na ile kati ya nanasi na peasi, ingawa huwa ya utulivu bila ya uchungu wowote.
Tunda huiva pale linapokuwa laini (kama vile [[parachichi]] au zaidi) na [[ngozi]] yake inapokuwa na ngozi yake inapokaribia [[rangi]] ya [[chungwa]] [[ladha]] ya chungwa hukamilana na ile kati ya [[nanasi]] na [[peasi]], ingawa huwa ya utulivu bila ya [[uchungu]] wowote.
 
==Wingi na matumizi ya papai==
Kutoka asili yake ya [[Meksiko]], [[Puerto Rico]], [[Amerika ya Kati]] na [[kusini]] mwa [[Asia]].
 
Papai lililoiva huliwa bila ya [[ganda|maganda]] wala [[mbegu]] zake; papai bichi huliwa baada ya kuchemshwa na kupimwa pamoja na [[saladi]] ya michemsho mingine.
 
Papai bichi na mti wake huwa na utovu.[[utomvu]] Yenyewenye [[kemikali]] inayoitwa [[papaini]] ambayo hutumika kulainisha [[nyama]] kwa kuvunjavunja [[protini]] iliyo iliyondanindani yake. Uwezo wake huu wa kulainisha nyama ngumu umetumiwa tangu enzi za zamani na watu wa kale tangu enzi za zamani.
 
Tafiti mbalimbali zimeonesha kwamba [[mbegu]] za papai ni muhimu kwa [[afya]] ya [[binadamu]] kuliko papai lenyewe; zinaweza kutibu matatizo ya [[ini]], [[figo]], [[malaria]], baadhi ya [[minyoo]] na hupunguza [[unene uliozidi|unene uliopitiliza]].
Wanawake huko [[Uhindi]], [[Pakistani]] na [[Sri Lanka]] walitumia sana papai kama njia ya kuzuia mimba na hata kutoa mimba wanawake waliokuwa utumwaniai pia walionekana sana wakitumia sana papai ili kuzuia wasishike mimba na kuwazaa watoto wao utumwani imegundulika hatambegu za papai nazo huweza kusababisha kuondoa uwezo wa kuzaa kwa wanaume.
 
[[Wanawake]] huko [[Uhindi]], [[Pakistani]] na [[Sri Lanka]] walitumia sana papai kama njia ya kuzuia [[mimba]] na hata [[kutoa mimba]] wanawake waliokuwa utumwaniaiutumwani ai pia walionekana sana wakitumia sana papai ili kuzuia wasishike mimba na kuwazaa [[watoto]] wao utumwani imegundulika hatambeguhata mbegu za papai nazo huweza kusababisha kuondoa uwezo wa kuzaa kwa [[wanaume]].
Shina na matawi ya mipapai pia yanatumika kutengenezea kamba. Mbegu zaidi za mipapai huweza kuliwa na zina radha kali sana. Husagwa na wakati mwingine na kutumiwa kama mbadala wa pilipili. Sehemu fulani za Asia, majani machanga ya mpapai huchemshwa kwa mvuke na kuliwa kama spinachi. Sehemu fulani duniani majani ya mpapai hunyweshwa na chai kama dawa ya kutibu malaria, japo hakuna ushahidi wa kutosha juu ya matibabu haya.
 
Shina na matawi ya mipapai pia yanatumika kutengenezea [[kamba]]. Mbegu zaidi za mipapai huweza kuliwa na zina radhaladha kali sana. Husagwa na wakati mwingine na kutumiwa kama mbadala wa [[pilipili]]. Sehemu fulani za Asia, majani machanga ya mpapai huchemshwa kwa [[mvuke]] na kuliwa kama [[spinachi]]. Sehemu fulani [[duniani]] majani ya mpapai hunyweshwa na [[chai]] kama [[dawa]] ya kutibu [[malaria]], japo hakuna ushahidi wa kutosha juu ya [[matibabu]] haya.
 
==Hatari ya matumizi ya papai na mazao yake==
Tunda la papai, mbegu na utomvu wake, pia majani yake yana kiwango kikubwa cha carpaine’carpaine, kemikali inayoondoa [[minyoo]] kwenye [[mwili]] lakini matumizi ya kiasi kikubwa huweza kuwa hatari.

Inafahamika kuwa mapapai mabichi yanaweza kusababisha kutoka kwa mimba kutokana na kiwango kikubwa cha kemikali ya Latex ambayo husababisha [[Ukuta|kuta]] za [[uterasi]] kusinyaa japo haijathibitishwa bado.
 
Kula sana mapapai kama ilivyo kwa [[karoti]], huweza kusababisha [[ugonjwa]] wa [[karotinemia]] ambapo nyayo na viganja huwa vya rangi ya [[njano]] japo hakuna madhara yoyote.
 
[[Jamii:Matunda]]