Riwaya : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Kwa mujibu wa Zinduka na wenzake
Tags: Mobile edit Mobile web edit
No edit summary
Tags: Mobile edit Mobile web edit
Mstari 1:
'''Riwaya''kwa mujibu wa zinduka na wenzake wanasema' (kutoka [[neno]] la [[Kiarabu]] <big>رواية</big> ''riwaya'' ) ni kazi andishi ya [[fasihi]] ambayo kwa kawaida ni ndefu kuliko [[hadithi]] fupi. [[Urefu]] wa riwaya, maana yake ni kwamba msuko simulizi umejengeka vizuri, kuna [[wahusika]] wengi, unaenea muda mrefu, na [[mada]] zake ni nzito na pana kiasi.
 
Mifano mizuri ya riwaya kwa [[lugha]] ya [[Kiswahili]] ni ''Nagona'' au ''Mzingile'', zilizoandikwa na [[mwandishi]] [[Euphrase Kezilahabi]].