Uhakiki wa fasihi simulizi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Masahihisho aliyefanya 41.59.211.31 (Majadiliano) yalirejeshwa hadi sahihisho la mwisho na Riccardo Riccioni
Tag: Rollback
Kwa mujibu wa Zinduka
Tags: Mobile edit Mobile web edit
Mstari 1:
'''Uhakiki''' ni kitendo cha kuchambua [[kazi]] ya kifasihi, kifani na kimaudhui ili kupata [[ujumbe]] uliomo katika kazi hiyo. Uhakiki wa kazi ya kifasihi hushughulikia vipengele vikuu viwili [2] ambavyo ni [[fani]] na [[maudhui]].
Kwa mujibu wa Zinduka mwashambwa anasema uhakiki ni kitendo cha kusoma kazi ya fasihi asilia inayoweza kuwa riwaya ,tamthiliya au ushairi Kisha kueleza na kufichua mambo ambayo yamefichika katika kazi hizoUhakikifasihi hushughulikia vipengele vikuu viwili [2] ambavyo ni [[fani]] na [[maudhui]].
 
Katika fani tunachunguza vipengele vifuatavyo: