Magharibi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 6:
Jina "magharibi" limetokana na neno la [[Kiarabu]] مَغْرِب ''maghrib'' linalomaanisha sehemu upande wa machweo.
 
Magharibi kawaida huwa upande wa kushoto kwenye ramani. [[Tanzania]] iko upande mwa magharibi ya [[Bahari Hindi]], [[Burundi]] iko upande wa magharibi ya Tanzania, na nchi ya [[Malawi]] iko upande mwa magharibi ya [[Msumbiji]].Nalo Wakanda wasema wapo katikati ya nchi ya [[Kenya]] na [[Ethiopia]].
 
Kwa maana ya kiutamaduni kuna uzoefu kutaja utamaduni wa Ulaya pamoja na Marekani (ambayo ni mtoto wa utamaduni wa Ulaya) kama "magharibi", kinyume chake ni "mashariki" kwa maana ya [[Asia]].