Tofauti kati ya marekesbisho "Magharibi"

174 bytes removed ,  miaka 2 iliyopita
d
Masahihisho aliyefanya 154.70.35.118 (Majadiliano) yalirejeshwa hadi sahihisho la mwisho na Legobot
No edit summary
d (Masahihisho aliyefanya 154.70.35.118 (Majadiliano) yalirejeshwa hadi sahihisho la mwisho na Legobot)
Tag: Rollback
 
Magahribi ni pia neno la kutaja saa ya sala ya jioni ya Waislamu na sala hii yenyewe.
 
Kwa mfano; Mama yuko Afrika Mashariki (East Afrika) kwa hivyo Baba yupo Afrika Magharibi? (West Africa)
Jina "magharibi" limetokana na neno la [[Kiarabu]] مَغْرِب ''maghrib'' linalomaanisha sehemu upande wa machweo.
 
Magharibi kawaida huwa upande wa kushoto kwenye ramani. [[Tanzania]] iko upande mwa magharibi ya [[Bahari Hindi]], [[Burundi]] iko upande wa magharibi ya Tanzania, na nchi ya [[Malawi]] iko upande mwa magharibi ya [[Msumbiji]].Nalo Wakanda wasema wapo katikati ya nchi ya [[Kenya]] na [[Ethiopia]].
 
Kwa maana ya kiutamaduni kuna uzoefu kutaja utamaduni wa Ulaya pamoja na Marekani (ambayo ni mtoto wa utamaduni wa Ulaya) kama "magharibi", kinyume chake ni "mashariki" kwa maana ya [[Asia]].