Fonolojia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Fonolojia kwa mujibu wa Zinduka mwashambwa
Tags: Mobile edit Mobile web edit
No edit summary
 
Mstari 1:
'''Fonolojia''' (hasa huitwa '''Sarufi Matamshi''') ni [[tawi]] la [[isimu]] yaani [[sayansi]] ya [[isimulugha]]. Inashughulikia [[uchunguzi]] na uchambuzi wa [[mfumo wa sauti]] katikaama [[lughamatamshi]] fulaniya lugha mahususi, kwa mfano ugawanyaji wa [[irabu]] na [[konsonanti]]. Kwa mujibu wa Zinduka mwashambwa fonolojia ni tawi la isimu yaani sayansi ya lugha ambalo linajishughulisha na uchambuzi wa sauti ama matamshi ya lugha mahususi mfano sauti za lugha ya kiswahili [[Kiswahili]].hivyo Hivyo fonolojia huchunguza sauti za lugha moja.
 
Ala za [[sauti]] ([[vipashio]] vya utamkaji) zinatumika katika utamkaji wa [[fonimu]] (vitamkwa) za lugha husika. Mkondo wa hewa wakati wa utamkaji. Kuwepo na kutokuwepo kwa mguno wakati wa utamkaji (ghuna/sighuna).