Ushoga : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Mwelekeo wa kimapenzi ni nini?''' ''Mwelekeo wa kimapenzi humaanisha muundo wa kudumu wa kimhemko, kimahaba, na/au mivuto ya kimapenzi kwa wanaume, wanawake...'
 
No edit summary
Mstari 1:
'''Ushoga''' (kwa [[Kiingereza]]: “homosexuality”) ni [[tabia]] au mwelekeo wa kimapenzi unaokwenda tofauti na kawaida inayofanya [[mwanamume]] na [[mwanamke]] kupendana na kuzaliana katika [[familia]]. Mwelekeo wa kimapenzi humaanisha muundo wa kudumu wa kimhemko, kimahaba, na/au mivuto ya kimapenzi kwa [[jinsia]] fulani. Mwelekeo wa kimapenzi kwa kawaida humfanya mtu kupenda jinsia tofauti na ya kwake (kuwa na mvuto kwa wahusika wa jinsia nyingine), jambo ambalo linawezesha [[uzazi]] kadiri ya [[maumbile]]. Hata hivyo kuna mashoga/wasagaji (mwanamume anayevutiwa na wanaume/mwanamke anayevutiwa na wanawake), na watu wanaopenda jinsia zote mbili (mwanamume au mwanamke anayevutiwa na jinsia zote mbili; kwa Kiingereza: “bisexual”).
'''Mwelekeo wa kimapenzi ni nini?'''
 
==Chanzo chake==
''Mwelekeo wa kimapenzi humaanisha muundo wa kudumu wa kimhemko, kimahaba, na/au mivuto ya kimapenzi kwa wanaume, wanawake, au jinsia zote.'' Mwelekeo wa kimapenzi unaweza kuwa wa toka kuvutiwa na jinsia tofauti tu hadi kuvutiwa na jinsia moja tu. Japokuwa, mwelekeo wa kimapenzi kwa kawaida hujadiliwa katika makundi matatu: mpenda jinsia tofauti (kuwa na mvuto kwa wahusika wa jinsia nyingine), shoga/msagaji (mwanaume anayevutiwa na wanaume/mwanamke anayevutiwa na wanawake), na mpenda jinsia mbili (mwanaume au mwanamke anayevutiwa na jinsia zote mbili; “bisexual”).
Vivutio vya msingi ambavyo huunda mwelekeo wa kimapenzi wa watu wazima kwa kawaida huibuka katikati ya [[utoto]] na [[ubalehe]]. Hakuna makubaliano kati ya [[wanasayansi]] juu ya sababu halisi ambazo humfanya mtu kuwa na mwelekeo wa kupenda jinsia tofauti,ileile shoga,ya kwake au kupenda jinsia zote mbili, aubadala ya jinsia tofauti tu kama ilivyo msagajikawaida. Wengi wanafikiria [[asili]] pamoja na [[mazingira]] vinachangia. Ila,Lakini tunachojuamara nyingine ni kwamba ''watumtu hawachaguiamefanyiwa mwelekeoau waoamekubali yamwenyewe kimapenzikujaribu kamahata tusivyochaguaakazoea rangikiasi zetucha zakushindwa ngozikujinasua.''
 
==Unyanyapaa na ukatili dhidi ya mashoga==
'''Watu hujua vipi kama wao ni wasagaji, mashoga, au wapenda jinsia mbili?'''
Watu wana mang'amuzi tofauti juu ya mwelekeo wao wa kimapenzi. Baadhi wanajitambua kwa muda mrefu kabla hawajaanza uhusiano na wengine. Baadhi hujihusisha na vitendo vya kimapenzi kabla ya kuchukua msimamo juu ya mwelekeo wao. Pengine mashoga, wasagaji na wapenda jinsia mbili hukumbana na [[unyanyapaa]], na hata [[ukatili]] mkubwa kwa sababu ya mwelekeo wao wa kimapenzi tofauti na kawaida. Wengi hukumbana na ubaguzi kwenye [[shule]], [[vyuo]], na sehemu zao za [[kazi]], wananyimwa [[huduma]] za [[afya]] na [[haki]], na hupata msaada mdogo kutoka kwa wanafamilia na marafiki. Ubaguzi na unyanyapaa hufanya iwe vigumu kwa watu wengi kujitangaza kuwa shoga, msagaji, au mpenda jinsia mbili.
 
''Ni wazi kuwa, watu walio wasagaji, mashoga, na wapenda jinsia mbili hukumbana na ubaguzi, unyanyapaa, na ukatili mkubwa kwa sababu ya mwelekeo wao wa kimapenzi''. Wengi hukumbana na ubaguzi kwenye mashule, vyuo vikuu, na sehemu zao za kazi, wananyimwa upataji huduma za afya na haki, na hupata msaada mdogo kutoka kwa wanafamilia na marafiki. Wakati hili ni tatizo la kiulimwengukimataifa, hali ni mbaya sana hasa katika sehemu kubwa za [[Afrika]]. Utafiti wa kidunia uliofanywa na Kituo cha Utafiti cha Pew mnamo mwaka 2007 uligunduakiligundua kuwa ni 3[[%]] tu ya [[Watanzania]], [[Wakenya]], na [[Waganda]] wanaamini kuwa ushoga unapaswa kukubalika. Matendo ya mwelekeo[[ngono]] (mvuto) waya jinsia moja huchukuliwa kuwa ni uhalifu katika nchi zote wanachama wa [[Jumuiya ya Afrika Mashariki]] (EAC), isipokuwa [[Rwanda]], na pengine [[adhabu]] yake ni kifungo cha muda mrefu gerezani. Matokeo yake, ni wachache tu walio wazi kuhusu mwelekeo wao wa kimapenzi, wakati wengi wanalazimishwa kuishi maisha yakwa usiri na uwongo, ili waendane na dhana[[maadili]] potofuyaliyokubalika zakatika jamii kimaadiliyao.
''Utajua wakati utapojua. Inaweza kuchukua muda, na hakuna haja ya kuharakisha.'' Vivutio vya msingi ambavyo huunda msingi wa mwelekeo wa kimapenzi wa watu wazima kwa kawaida huibuka katikati ya kati ya utoto na mwanzo za kubalehe. Watu tofauti walio wasagaji, mashoga, na wapenda jinsia mbili wana uzoefu tofauti sana juu ya mwelekeo wao wa kimapenzi. Watu wengine wanajua kuwa wao ni wasagaji, mashoga, au wapenda jinsia mbili kwa muda mrefu kabla hawajaanza uhusiano na watu wengine. Watu wengine hujihusisha na vitendo vya kimapenzi kabla ya kuchukua msimamo juu ya mwelekeo wao wa kimapenzi. Ubaguzi na unyanyapaa hufanya iwe vigumu kwa watu wengi kufuata mwelekeo wao wa kimapenzi unao watambulisha, hivyo, kujitangaza kuwa shoga, msagaji, au mpenda jinsia mbili kunaweza kuwa mchakato wa taratibu.
 
''[[Chuki]] dhidi ya mashoga (kwa Kiingereza: “homophobia”) pengine ni kubwa na ina madhara makubwa kwa [[afya ya akili]] na ustawi wa watu walio wasagaji, mashoga, wasagaji na wapenda jinsia mbili'', haswahasa ikiwa wanajaribu kuficha au kukataa mwelekeo wao wa kimapenzi. Ubaguzi, unyanyapaa,Unyanyapaa na ukatili ni vyanzo vikuu vyavinazidisha mafadhaiko kwayao wasagaji, mashoga,yanayotokana na wapendakutambua jinsiatofauti mbili.kati Wasagaji,ya mashoga,mwili wao na wapendamwelekeo jinsiawao. mbiliHivyo hao wako katika hatari kubwa ya kuingia [[ulevi]] wa aina mbalimbali [[kujiua]] kuliko wenzao wanaovutiwa na jinsia tofauti'''.''' Watu wanaotamani kuwasaidia wanaweza kufanya kazi na mashirika husika kuwapatia [[ushauri nasaha]] pamoja na kupambana na unyanyapaa.
'''Nini husababisha mtu kuwa na mwelekeo fulani wa kimapenzi?'''
 
''Mashoga, wasagaji na wapenda jinsia mbili wanaotaka kupunguza unyanyapaa wanaweza kuwa wazi kuhusu mwelekeo wao wa kimapenzi, huku wakichukua tahadhari muhimu ili kuwa salama kadiri iwezekanavyo. Kuwaambia watu wengine kuwa wewe ni mpenzi wa jinsia moja au tofauti huitwa “kutoka nje”.'' KutokaMara njenyingi mara nyingihiyo ni hatua muhimu ya kisaikolojia kwa watu walio wasagaji, mashoga, wasagaji na wapenda jinsia mbili. WanawakeKati wasagaji na wanaume mashoga ambaoyao wanahisiwanaohisi lazima wafiche mielekeo yao ya kimapenzi huripoti wasiwasi wa mara kwa mara wa afya ya akili kuliko wanawake wasagajimashoga na wanaume mashogawasagaji ambao wako wazi. Japokuwa, unapaswa kutoka nje tu ikiwa unataka, na ikiwa uko tayari. Ingawa unatumaini kuwa marafiki na familia watakuunga mkonowatakupokea, inawezekana kwamba hawatakubali. Ikiwa unategemea wazazi wako kifedha, unaweza kutaka kungojea. Inawezekana kwamba wanaweza kuguswa vibaya na kujaribu kukufukuza nyumbani, kukuweka kwenye ndoa ya jinsia tofauti au kwenye matibabu mabaya ya kiakili na yasiyo muhimu. Kama utatoka nje, ni wazo zurivizuri kuanza kwa kumwambia mtu ambaye una uhakika kuwa atakuwa na mtizamomtazamo mzurichanya. Kutoka nje kunaweza kuwa moja ya kazi ngumu sana utayokabilianautakayokabiliana nayo katika maisha yako, lakini pia inaweza kuwa moja ya kazi zenye tunu sana. Kutoka nje ni njia mojamojawapo ya kudhibitishakuthibitisha hadhi yako na hadhi ya watu wengine walio wasagaji, mashoga, na wapenda jinsia mbili'''.'''
Hakuna makubaliano kati ya wanasayansi juu ya sababu halisi ambazo humfanya mtu kuwa na mwelekeo wa kupenda jinsia tofauti, shoga, kupenda jinsia mbili, au msagaji. Wengi wanafikiria asili pamoja na mazingira vinachangia. Ila, tunachojua ni kwamba ''watu hawachagui mwelekeo wao ya kimapenzi kama tusivyochagua rangi zetu za ngozi.''
 
==Mtazamo upande wa afya na elimunafsia==
'''Ubaguzi na unyanyapaa huchangia nini kwenye maisha ya watu walio wasagaji, mashoga, na wapenda jinsia mbili?'''
''KuwaMiongo msagaji,mingi shoga,ya au[[utafiti]] mpendana jinsiauzoefu mbiliya nikitabibu kawaidaimepelekea kabisamashirika ya [[afya]] na niya afya ya akili kuthibitisha kuwa mielekeo hii si [[ugonjwa]]. Mapenzi[[Shirika la Afya Ulimwenguni]] (WHO) liliondoa ushoga kutoka kwenye orodha yake ya jinsia[[magonjwa mojaya akili]] mnamo [[1990]] na kwamba mapenzi ya jinsia tofautimoja si magonjwa na hivyo hayahitaji [[matibabu'']]. Hadi leo, hakuna utafiti wa kutosha wa kisayansi kuonyesha kwamba [[tiba]] inayolenga kubadili mwelekeo wa mapenzi ya jinsia moja ni salama au inafaa. Kwa kuongezea, inaonekana kwamba uhamasishaji wa matibabu ya mabadiliko huimarisha ubaguzi na huchangia mazingira mabaya kwa wasagajimashoga, mashoga,wasagaji na wapenda jinsia mbili.
 
''Hapana. Ushoga umekuwa sehemu ya kila jamii na kila tamaduni,'' na pia hutokea kwa wanyama. Tafiti tofauti kote ulimwenguni zimegundua kuwa kati ya mtu mmoja1 hadi kumi10 kati ya 100 wanavutiwa na wahusikawatu wa jinsia mojayao. Ushoga umekuwepo katika kila jamii na kila [[utamaduni]], na pia hutokea kwa [[wanyama]]. Moja ya dhihirisho la mapema zaidi ulimwenguni la ushoga ni michoro[[Michoro ya miambamiambani]] ya watu[[Wasan]] wa San [[Zimbabwe]] ambayo inaonyesha mahususianomahusiano ya jinsia moja ambaloambayo ni laya maelfu ya miaka iliyopita. Michoro hiyo na vile vilevilevile [[ushahidi]] mwingine wa kihistoria unaonyesha kuwa ushoga umekuwepo katika [[bara lote]] la Afrika katika historia yote, na siosi umeletwa na [[mataifa]] ya [[Magharibi]] kama inavyodaiwa na viongozi wa kiafrika na watu wengine.
''Ni wazi kuwa, watu walio wasagaji, mashoga, na wapenda jinsia mbili hukumbana na ubaguzi, unyanyapaa, na ukatili mkubwa kwa sababu ya mwelekeo wao wa kimapenzi''. Wengi hukumbana na ubaguzi kwenye mashule, vyuo vikuu, na sehemu zao za kazi, wananyimwa upataji huduma za afya na haki, na hupata msaada mdogo kutoka kwa wanafamilia na marafiki. Wakati hili ni tatizo la kiulimwengu, hali ni mbaya sana hasa katika sehemu kubwa za Afrika. Utafiti wa kidunia uliofanywa na Kituo cha Utafiti cha Pew mnamo mwaka 2007 uligundua kuwa ni 3% tu ya Watanzania, Wakenya, na Waganda wanaamini kuwa ushoga unapaswa kukubalika. Matendo ya mwelekeo (mvuto) wa jinsia moja huchukuliwa kuwa ni uhalifu katika nchi zote wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), isipokuwa Rwanda, na adhabu yake ni kifungo cha muda mrefu gerezani. Matokeo yake, ni wachache tu walio wazi kuhusu mwelekeo wao wa kimapenzi, wakati wengi wanalazimishwa kuishi maisha ya usiri na uwongo, ili waendane na dhana potofu za kimaadili.
 
==Misimamo ya dini==
'''Ni nini athari za kisaikolojia za ubaguzi na unyanyapaa?'''
''Tamaduni za kijamii au za kidini haziwezihazitakiwi kuhalalisha tena ubaguzi dhidi ya watu waliomashoga, wasagaji, mashoga, na wapenda jinsia mbili kwani tamaduni za namna hii zinaweza kuhalalisha ubaguzi wa rangi na kijinsia.'' Uonevu na unyanyasaji, kuwakatalia watu walio wasagaji, mashoga, na wapenda jinsia mbili fursa sawa na heshima au kuwatuhumu kwa vile walivyo siosi [[uchaji wa Mungu]] wala ufuataji tamaduni bali ni ubaya tu. Hata hivyo suala la maadili linabaki: je, ni halali kufuata mwelekeo wowote ambao tunajisikia au tumejizoesha kwa kurudiarudia matendo maovu?
 
[[Uyahudi]], [[Ukristo]], na [[Uislamu]] kimapokeo huchukulia tabia za mapenzi ya jinsia moja kuwa ni [[dhambi]]. Mafundisho ya [[Uhindu]], [[Ubudha]], [[Ujain]], na [[Usikh]] hayako wazi kabisa juu ya mwelekeo wa mapenzi ya jinsia moja, na viongozi wa [[dini]] wanatoa maoni tofauti. Leo, watu kutoka dini zote wanazidi kukubali mapenzi ya jinsia moja, na hata [[ndoa ya jinsia moja]]. [[Idadi]] inayokua ya [[madhehebu]] ya Kikristo hufanya [[baraka]] za ndoa za jinsia moja. Watu wengi walio mashoga, wasagaji na wapenda jinsia mbili wanaripoti kwamba hawaoni mgongano kati ya mwelekeo wao wa kimapenzi na [[imani]] yao. Hayo yote hayamaanishi kwamba ndio ukweli. Ni lazima kufikiria uumbaji wa mtu katika jinsia mbili ili kuelewa Muumba alitaka nini, hasa alipounganisha muungano na uwezekano wa mimba kupatikana.
''Chuki dhidi ya mashoga (“homophobia”) ni kubwa na ina madhara makubwa kwa afya ya akili na ustawi wa watu walio wasagaji, mashoga, na wapenda jinsia mbili'', haswa ikiwa wanajaribu kuficha au kukataa mwelekeo wao wa kimapenzi. Ubaguzi, unyanyapaa, na ukatili ni vyanzo vikuu vya mafadhaiko kwa wasagaji, mashoga, na wapenda jinsia mbili. Wasagaji, mashoga, na wapenda jinsia mbili wako katika hatari kubwa ya kujiua kuliko wenzao wanaovutiwa na jinsia tofauti'''.'''
 
[[Papa Fransisko]], mkuu wa [[Kanisa Katoliki]], ameongea mara kwa mara juu ya hitaji la kukaribisha na kupenda watu wote, bila kujali mwelekeo wao wa kimapenzi, kwa kuwa wote ni sura na mfano wa Mungu. Hata hivyo mafundisho ya Kikatoliki yanasema wazi kwamba matendo ya ushoga ni dhambi. Mwelekeo tu si dhambi, lakini ni hatari, kwa kuwa unafanya mtu avutiwe na jambo ambalo ni dhambi, tofauti na mwelekeo wa kawaida unaomfanya mtu avutiwe na ndoa na uzazi kama inavyohitajiwa na jamii ili kujiendeleza. Hivyo mashoga na wengineo wanahitaji msaada wa pekee kuelewa mpango wa Mungu kuhusu jinsia na hatimaye kuishi namna ya kumpendeza.
'''Watu wanaweza kufanya nini kupunguza ubaguzi na unyanyapaa dhidi ya wasagaji, mashoga, na wapenda jinsia mbili?'''
{{mbegu-utamaduni}}
 
[[Jamii:Jinsia]]
Wasagaji, mashoga, na wapenda jinsia mbili wanaotaka kusaidia kupunguza ubaguzi na unyanyapaa wanaweza kuwa wazi kuhusu mwelekeo wao wa kimapenzi, huku wakichukua tahadhari muhimu ili kuwa salama kadiri iwezekanavyo. ''Wapenzi wa jinsia tofauti wanaotamani kusaidia wanaweza kufika sehemu ya kujua wasagaji, mashoga, na wapenda jinsia mbili, na wao wanaweza kufanya kazi na mashirika husika kupambana na unyanyapaa.''
[[Jamii:Saikolojia]]
 
[[Jamii:Maadili]]
'''Je mapenzi ya jinsia moja ni tatizo la kiakili, ugonjwa, ulemavu, jambo lisilo la asili, au lisilo la kawaida?'''
 
''Hapana. Mielekeo ya usagaji, ushoga, na kupenda jinsia mbili, sio ugonjwa.'' Miongo mingi ya utafiti na uzoefu ya kitabibu imepelekea mashirika yote ya afya na ya afya ya akili kuthibitisha kuwa mielekeo hii huwakilisha ni hali za kawaida za maisha ya mwanadamu. Mahusiano ya jinsia moja, kama yalivyo mahusiano kati ya mwanaume na mwanamke, ni hali za kiasili na kiafya za muunganiko wa binadamu. Shirika la Afya Ulimwenguni (WHO) liliondoa ushoga kutoka kwenye orodha yake ya magonjwa ya akili mnamo 1990.
 
'''Vipi kuhusu matibabu yaliyokusudiwa kubadili mwelekeo wa mapenzi ya jinsia moja kwenda mapenzi ya jinsia tofauti?'''
 
''Kuwa msagaji, shoga, au mpenda jinsia mbili ni kawaida kabisa na ni afya. Mapenzi ya jinsia moja na ya jinsia tofauti si magonjwa na hivyo hayahitaji matibabu''. Hadi leo, hakuna utafiti wa kutosha wa kisayansi kuonyesha kwamba tiba inayolenga kubadili mwelekeo wa mapenzi ya jinsia moja ni salama au inafaa. Kwa kuongezea, inaonekana kwamba uhamasishaji wa matibabu ya mabadiliko huimarisha ubaguzi na huchangia mazingira mabaya kwa wasagaji, mashoga, na wapenda jinsia mbili.
 
'''Ushoga ni jambo la Magharibi, au “lisilo la Kiafrika”?'''
 
''Hapana. Ushoga umekuwa sehemu ya kila jamii na kila tamaduni,'' na pia hutokea kwa wanyama. Tafiti tofauti kote ulimwenguni zimegundua kuwa kati ya mtu mmoja hadi kumi kati ya 100 wanavutiwa na wahusika wa jinsia moja. Moja ya dhihirisho la mapema zaidi ulimwenguni la ushoga ni michoro ya miamba ya watu wa San Zimbabwe ambayo inaonyesha mahususiano ya jinsia moja ambalo ni la maelfu ya miaka iliyopita. Michoro hiyo na vile vile ushahidi mwingine wa kihistoria unaonyesha kuwa ushoga umekuwepo katika bara lote la Afrika katika historia yote, na sio umeletwa na mataifa ya Magharibi kama inavyodaiwa na viongozi wa kiafrika na watu wengine.
 
'''Jamii au dini zinaweza kuhalalisha ubaguzi?'''
 
''Tamaduni za kijamii au za kidini haziwezi kuhalalisha tena ubaguzi dhidi ya watu walio wasagaji, mashoga, na wapenda jinsia mbili kwani tamaduni za namna hii zinaweza kuhalalisha ubaguzi wa rangi na kijinsia.'' Uonevu na unyanyasaji, kuwakatalia watu walio wasagaji, mashoga, na wapenda jinsia mbili fursa sawa na heshima au kuwatuhumu kwa vile walivyo sio uchaji wa Mungu wala ufuataji tamaduni bali ni ubaya.
 
'''“Kutoka nje” (“coming out”) ni nini na kwa nini ni muhimu?'''
 
''Kuwaambia watu wengine kuwa wewe ni mpenzi wa jinsia moja au tofauti huitwa “kutoka nje”.'' Kutoka nje mara nyingi ni hatua muhimu ya kisaikolojia kwa watu walio wasagaji, mashoga, na wapenda jinsia mbili. Wanawake wasagaji na wanaume mashoga ambao wanahisi lazima wafiche mielekeo yao ya kimapenzi huripoti wasiwasi wa mara kwa mara wa afya ya akili kuliko wanawake wasagaji na wanaume mashoga ambao wako wazi. Japokuwa, unapaswa kutoka nje tu ikiwa unataka, na ikiwa uko tayari. Ingawa unatumaini kuwa marafiki na familia watakuunga mkono, inawezekana kwamba hawatakubali. Ikiwa unategemea wazazi wako kifedha, unaweza kutaka kungojea. Inawezekana kwamba wanaweza kuguswa vibaya na kujaribu kukufukuza nyumbani, kukuweka kwenye ndoa ya jinsia tofauti au kwenye matibabu mabaya ya kiakili na yasiyo muhimu. Kama utatoka nje, ni wazo zuri kuanza kwa kumwambia mtu ambaye una uhakika kuwa atakuwa na mtizamo mzuri. Kutoka nje kunaweza kuwa moja ya kazi ngumu sana utayokabiliana nayo katika maisha yako, lakini pia inaweza kuwa moja ya kazi zenye tunu sana. Kutoka nje ni njia moja ya kudhibitisha hadhi yako na hadhi ya watu wengine walio wasagaji, mashoga, na wapenda jinsia mbili'''.'''
 
'''Je ushoga ni dhambi?'''
 
Uyahudi, Ukristo, na Uislam kitamaduni huchukulia tabia za mapenzi ya jinsia moja kuwa ni dhambi. Mafundisho ya Uhindu, Wabudha, Jain, na Sikh hayako wazi kabisa juu ya mwelekeo wa mapenzi ya jinsia moja, na viongozi wa dini wanatoa maoni tofauti. ''Leo, viongozi kutoka dini zote wanazidi kukubali mapenzi ya jinsia moja'', na baadhi yao huenda mbali hadi kuhimiza ndoa ya jinsia moja. Wanazuoni wa Kislamu, kwa mfano, wanasema kwamba Uislam haulaani ushoga na kusema kwamba, wakati Kurani inazungumza dhidi ya tamaa ya ushoga, iko kimya juu ya mapenzi ya jinsia moja. Papa Francis, mkuu wa Kanisa Katoliki, ameongea mara kwa mara juu ya hitaji la Kanisa Katoliki kuwakaribisha na kupenda watu wote, bila kujali mwelekeo wao wa kimapenzi, na kuweka wazi kuwa mafundisho ya Kikatoliki yanasema kwamba tabia za ushoga "sio dhambi." Idadi inayokua ya makanisa ya Kikristo hufanya baraka za ndoa za jinsia moja. Watu wengi walio wasagaji, mashoga, na wapenda jinsia mbili barani Afrika, pamoja na wafuasi wa dini zote, wanaripoti kwamba hawapati mzozo kati ya mwelekeo wao wa kimapenzi na imani yao.