Jozi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:DocMartensHalbschuhe.jpg|300px|thumb|Jozi yala viatu.]]
[[Picha:Pair of mandarin ducks.jpg|300px|thumb|Jozi yala bata.]]
'''Jozi''' ni namna ya kutaja [[vitu]] viwili vilivyo pamoja na vinavyofanana. Ni namna nyingine ya kusema "[[mbili]]" lakini kwa kukazia [[tabia]] ya kuwa pamoja.
 
[[Neno]] latokanalinatokana na [[Kiarabu]] <big>جوزاء</big> ''jawza'' inayomaanisha pia "[[mapacha]]".
 
Mifano ya jozi za kawaida ni viatu, soksi, macho. Khanga zinauzwa mara nyingi kwa jozi.
 
Mifano ya jozimajozi zaya kawaida ni [[viatu]], [[soksi]], [[macho]]. [[Khanga]] zinauzwa mara nyingi kwa jozi.
 
{{mbegu-hisabati}}
[[jamii:Namba]]