Leza : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Kipala alihamisha ukurasa wa Leza (chombo) hadi Leza: hakuna maana mbdala
No edit summary
Mstari 1:
'''Leza''' (kutoka [[Kiingereza]] '''laser''', [[akronimi]] ya [[fungu la maneno]] ''"Light Amplification by Stimulated Emission of Radiation"''.<ref name=":0">{{Cite web|url=https://spaceplace.nasa.gov/laser/en/|title=What is a laser? :: NASA Space Place|author=NASA|date=25 May 2017|language=en-US|work=spaceplace.nasa.gov|accessdate=2018-07-09}}</ref><ref>{{Cite web|url=https://lasers.llnl.gov/education/how_lasers_work|title=How Lasers Work|author=Lawrence Livermore National Laboratory|date=|language=en-US|work=lasers.llnl.gov|accessdate=2018-07-09}}</ref>) ni [[chombo]] cha kukuza na kushadidisha [[mwali|miali]] kuelekea upande mmoja kutengeneza ''[[mwangaza leza]]''.
 
[[Kifaa]] hiki ni maalumu, si kama [[taa]] nyingine za kutoa [[mwangaza]] na miali yake ina matumizi mengi.
Mstari 8:
== Manufaa ya leza ==
Leza ina matumizi mengi yakiwemo:
* [[Burudani]] - inatumika kwa vifaa zinazosomavinavyosoma vijisahani rekodi (''disc drives'') na vifaa zinazotoa miali ya [[rangi]] tofautitofauti katika [[nyumba]] za burudani
* [[Biashara]] kwa vifaa kama vile vifaa vya kupiga chapa, vifaa vya kupima [[joto]] vya leza, vielekezi leza na vinginevyo
* [[Viwanda|Viwandani]] kutengeneza vifaa vya leza vya kukata, kuchomelea, kupima [[urefu]] [[dijiti|kidijiti]], kutia [[alama]] vitu na kuchomea vitu zinazoundwa kwa joto
* [[Mawasiliano]] - kupeperusha mawasiliano[[mawimbi]] ya [[runinga]] na [[intaneti]]<ref name=":0" />
* Sekta ya [[usalamaUsalama]] - katika [[ala]] za [[vita]] hasa [[tochi]] za kulenga shabaha katika vifaa vya kivita kama vile [[bunduki]] za kisasa, kuelekeza [[kombora]] za kisasa
* [[wikt:matibabu|Matibabu]] - kufanya [[wikt:operesheni|opareshenioperesheni]] isiyo ya [[upasuaji]]<ref>{{Cite web|url=https://www.allaboutvision.com/visionsurgery/|title=LASIK & Laser Eye Surgery: A Complete Consumer Guide|author=Vance Thompson|date=13 June 2018|language=en|work=AllAboutVision.com|accessdate=9 July 2018}}</ref><ref>{{Cite Web|url=https://www.glaucoma.org/treatment/laser-surgery.php|title=Laser Surgery|author=Glaucoma Research Foundation|accessdate=9 July 2018|date=25 August 2017|language=en|work=Glaucoma Research Foundation}}</ref>
* Katika upondozi[[Upodozi]] - kufanya operesheni zisizo za [[upasuaji]] za kubadilisha [[umbile]] ili kuongeza [[urembo]] kama vile operesheni ya [[lipo ya leza]] (ijulikanayo kwa Kiingereza kama ''"Liposuction"'') inayopunguza [[mafuta]] [[Mwili|mwilini]].<ref>{{Cite web|url=https://www.zwivel.com/blog/does-laser-liposuction-work/|title=The Pros and Cons of Laser-Assisted Liposuction|author=Jedha Dening|date=3 July 2017|accessdate=9 July 2018}}</ref> Operesheni ya lipo hufanywa na [[mashine]] ya lipo ya leza ambazoambayo zilibatiliilibatilisha mfumo wa zamani wa operesheni ya lipo ambao watu walifanyiwa upasuaji.
 
== Tanbihi ==
Mstari 32:
* https://en.wikipedia.org/wiki/Laser_beam_profiler
* https://en.wikipedia.org/wiki/Liposuction
 
== Viungo vya nje ==
 
{{tech-stub}}
{{DEFAULTSORT:Leza}}
[[Jamii:Maneno ya Kiswahili]]
[[Jamii:Vifaa]]