Klaus Barbie : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d →‎Viungo vya nje: All info is kept in Wikidata, removed: {{Link FA|it}} using AWB (10903)
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Klaus Barbie.jpg|thumb|right|190px|Klaus Barbie akivaa sare za SS wakati wa vita.]]
'''Klaus Barbie''' (alizawa tar. [[25 Oktoba]] [[1913]] – [[25 Septemba]] [[1991]]) alikuwa [[mwanajeshi]] wa [[Schutzstaffel|SS]] au [[Schutzstaffel]]-Hauptsturmführer, na pia alikuwa mmoja wa wanachama wa [[Gestapo]]. Alikuwa akifahamika kama the '''Butcher of Lyon''' au '''Mchinjaji wa Lyon'''.
 
== Wasifu ==
Mstari 9:
 
Mnamo [[Septemba]] [[1935]], alijunga na SD au Sicherheitsdienst (kikosi cha ulinzi), ni tawi maalum la [[Schutzstaffel|SS]]. Baadae kidogo alihamishwa kwenda kutumikia nchini [[Uholanzi]]. Mnamo mwaka [[1942]], alihamishiwa mjini [[Dijon]] na kunako mwezi Novemba ya mwaka huo huo wa 1942 akahamishiwa mjini Lyon, [[Ufaransa]], ambapo huko ndiko alikokuja kuwa kiongozi wa Gestapo ndogo.
 
==Makosa ya kivita==
{{Empty section}}
 
==Kesi yake ya mauwaji==
{{Empty section}}
 
==Marejeo==
Line 28 ⟶ 22:
 
{{DEFAULTSORT:Barbie, Klaus}}
[[Jamii:Waliozaliwa 1913]]
[[Jamii:Waliofariki 1991]]
[[Jamii:Viongozi wa Nazi]]
[[Jamii:Maofisa wa SS]]
[[Jamii:Watu wa Ujerumani]]
[[Jamii:Waliozaliwa 1913]]
[[Jamii:Waliofariki 1991]]