Mapenzi ya jinsia moja : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 35:
Tamaduni za kijamii au za kidini hazitakiwi kuhalalisha tena ubaguzi dhidi ya mashoga, wasagaji na wapenda jinsia mbili. Uonevu na unyanyasaji, kuwakatalia watu walio wasagaji, mashoga, na wapenda jinsia mbili fursa na heshima sawa au kuwatuhumu kwa vile walivyo au wanavyotenda si [[uchaji wa Mungu]] wala ufuataji tamaduni bali ni ubaya tu. Kuchukia maovu ni tofauti na kuchukia mwovu. Hata hivyo suala la maadili linabaki: je, ni halali kufuata mwelekeo wowote ambao tunajisikia au tumejizoesha kwa kurudiarudia matendo maovu? Tukikubali watu wafanye lolote wanalojisikia, jamii itakuwaje?
 
[[Uyahudi]]<ref>The Torah (first five books of the Hebrew Bible) is the primary source for Jewish views on homosexuality. It states that: "[A man] shall not lie with another man as [he would] with a woman, it is a תועבה toeba ("abomination")" ([[Law|Leviticus]] 18:22). Like many similar commandments, the stated punishment for willful violation is the death penalty, although in practice rabbinic Judaism no longer believes it has the authority to implement death penalties.</ref>, [[Ukristo]]<ref>Rom 13:13-14: 13 Let us behave decently, as in the daytime, not in carousing and drunkenness, not in sexual immorality and debauchery, not in dissension and jealousy. 14 Rather, clothe yourselves with the Lord Jesus Christ, and do not think about how to gratify the desires of the flesh. Galatians 5:19–5:21: 19 Now the works of the flesh are obvious: fornication, impurity, licentiousness, 20 idolatry, sorcery, enmities, strife, jealousy, anger, quarrels, dissensions, factions, 21 envy, drunkenness, carousing, and things like these. I am warning you, as I warned you before: those who do such things will not inherit the kingdom of God. Colossians 3:5–3:7: 5 Put to death, therefore, whatever in you is earthly: fornication, impurity, passion, evil desire, and greed (which is idolatry). 6 On account of these the wrath of God is coming on those who are disobedient. 7 These are the ways you also once followed, when you were living that life. Ephesians 5:3–5:3: 3 But fornication and impurity of any kind, or greed, must not even be mentioned among you, as is proper among saints.</ref>, na [[Uislamu]]<ref>Islam views same-sex desires as an unnatural temptation; and sexual relations are seen as a transgression of the natural role and aim of sexual activity. "Do you approach males among the worlds And leave what your Lord has created for you as mates? But you are a people transgressing". — Quran , Surah 26 (165-166)</ref> [[Mapokeo|kimapokeo]] huchukulia tabia za mapenzi ya jinsia moja kuwa ni [[dhambi]]. Mafundisho ya [[Uhindu]], [[Ubudha]], [[Ujain]], na [[Usikh]] hayako wazi kabisa juu ya mwelekeo wa mapenzi ya jinsia moja, na viongozi wa [[dini]] wanatoa maoni tofauti. Leo, watu kutoka dini zote wanazidi kukubali mapenzi ya jinsia moja, na hata [[ndoa ya jinsia moja]]. [[Idadi]] inayokua ya [[madhehebu]] ya [[Uprotestanti]] hufanya [[baraka]] za ndoa za jinsia moja. Watu wengi walio mashoga, wasagaji na wapenda jinsia mbili wanaripoti kwamba hawaoni mgongano kati ya mwelekeo wao wa kimapenzi na [[imani]] yao. Hayo yote hayamaanishi kwamba ndio [[ukweli]]; pengine ni kupotewa na [[hekima]]<ref>Romans 1:19–1:27: 19 For what can be known about God is plain to them, because God has shown it to them. 20 Ever since the creation of the world his eternal power and divine nature, invisible though they are, have been understood and seen through the things he has made. So they are without excuse; 21 for though they knew God, they did not honor him as God or give thanks to him, but they became futile in their thinking, and their senseless minds were darkened. 22 Claiming to be wise, they became fools; 23 and they exchanged the glory of the immortal God for images resembling a mortal human being or birds or four-footed animals or reptiles. 24 Therefore God gave them up in the lusts of their hearts to impurity, to the degrading of their bodies among themselves, 25 because they exchanged the truth about God for a lie and worshiped and served the creature rather than the Creator, who is blessed forever! Amen. 26 For this reason God gave them up to degrading passions. Their women exchanged natural intercourse for unnatural, 27 and in the same way also the men, giving up natural intercourse with women, were consumed with passion for one another. Men committed shameless acts with men and received in their own persons the due penalty for their error.</ref> au ni kujilegeza na kufuata tu mkondo. Ni lazima kufikiria [[uumbaji]] wa mtu katika jinsia mbili ili kuelewa [[Muumba]] alitaka nini, hasa alipounganisha [[kilele]] cha [[tendo la ndoa]] na uwezekano wa [[mimba]] kupatikana.
 
[[Papa Fransisko]], mkuu wa [[Kanisa Katoliki]], ameongea mara kwa mara juu ya hitaji la kukaribisha na kupenda watu wote, bila kujali mwelekeo wao wa kimapenzi, kwa kuwa wote ni sura na mfano wa [[Mungu]]. Hata hivyo mafundisho ya Kikatoliki<ref>The teachings of the Catholic Church on same-sex attraction are summarized in the [[Katekisimu ya Kanisa Katoliki|Catechism of the Catholic Church]]:
Mstari 43:
2358 The number of men and women who have deep-seated homosexual tendencies is not negligible. This inclination, which is objectively disordered, constitutes for most of them a trial. They must be accepted with respect, compassion, and sensitivity. Every sign of unjust discrimination in their regard should be avoided. These persons are called to fulfill God's will in their lives and, if they are Christians, to unite to the sacrifice of the Lord's Cross the difficulties they may encounter from their condition.
 
2359 Homosexual persons are called to chastity. By the virtues of self-mastery that teach them inner freedom, at times by the support of disinterested friendship, by prayer and sacramental grace, they can and should gradually and resolutely approach Christian perfection.[72]</ref> yanasema wazi kwamba matendo ya ushoga ni [[dhambi]], tena [[dhambi ya mauti]] kama matendo mengine ya [[uasherati]] na hata zaidi. Mwelekeo tu si dhambi, lakini ni hatari, kwa kuwa unafanya mtu avutiwe na jambo ambalo ni dhambi, tofauti na mwelekeo wa kawaida unaomfanya mtu avutiwe na ndoa na uzazi kama inavyohitajiwa na jamii ili kujiendeleza. Hivyo mashoga na wengineo wanahitaji msaada wa pekee kuelewa mpango wa Mungu kuhusu jinsia na hatimaye kuishi namna ya kumpendeza. Msimamo wa [[Waorthodoksi]] na [[Waorthodoksi wa Mashariki]] ni wa namna hiyohiyo: kwamba ngono inakubalika tu katika ndoa.
 
==Tazama pia==
* [[Msenge]]
 
==Tanbihi==
{{reflist}}
{{mbegu-utamaduni}}
[[Jamii:Jinsia]]