Shirika la Mkombozi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Legobot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 21 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q751148 (translate me)
Replacing Neumann.png with File:Johannes_Nepomuk_Neumann.jpg (by CommonsDelinker because: Duplicate: Exact or scaled-down duplicate: c::File:Johannes Nepomuk Neumann.jpg).
Mstari 1:
[[Image:Sant'Alfonso Liguori.jpg|thumb|left|Mt. [[Alfonso Maria wa Liguori]] (1696-1787), Mwanzilishi wa shirika]]
[[Image:Johannes Nepomuk Neumann.pngjpg|thumb|left|Mt. [[John Nepomucene Neumann]] (1811-1860), askofu wa kwanza wa [[Marekani]] kutangazwa mtakatifu]]
'''Shirika la Mkombozi Mtakatifu sana''' (kwa [[Kilatini: ''Congregatio Sanctissimi Redemptoris'' – Ufupisho: C.Ss.R au CSSR) ni shirika la kitawa la kimisionari la [[Kanisa Katoliki]] lililoanzishwa na [[Alfonso Maria wa Liguori]] tarehe [[9 Novemba]] [[1732]] huko [[Scala]] (karibu na [[Amalfi]], [[Italia]]) ili kushughulikia watu waliosahaulika wa mkoa wa [[Napoli]].