Tofauti kati ya marekesbisho "Mwamba (jiolojia)"

2 bytes removed ,  mwaka 1 uliopita
no edit summary
[[File:DirkvdM rocks.jpg|Right|thumb|Miamba.]]
[[Picha:Logan Rock from below.jpg|thumb|Graniti ni mwamba wa kivolkeno.]]
'''Mwamba''' katika [[jiolojia]] ni namna ya kutaja [[mawe]] au zaidi mchanganyiko au mkusanyiko wa mabao ya aina moja au zaidi ya [[madini]] ulio imara katika hali asilia. Jiwe ni kipande cha mwamba.
Takriban madini 30 hufanya sehemu kubwa ya miamba ya [[dunia]], ni hasa [[silikati]] na [[kabonati]].
 
== Aina yaza miamba ==
Mwamba hutokea kwa namna tatu:
* mwamba wa mgando au [[mwamba wa kivolkeno]] unajitokeza pala ambako [[magma]] au [[lava]] inaganda, kwa mfano [[itale]].
 
== Mzunguko wa miamba ==
Miamba hubadilishwa umbo katika muda wa miaka mamilionimilioni kadhaa. Madini yaoyake huingia katika hali mbalimbali yaza mwamba.
 
* a) Mwamba wa kivolkeno hutokea kwa kuganda kwa magma au lava.
* f) Kila aina ya mwamba unaweza kumezwa na mwendo wa gandunia na kuyeyushwa tena kuwa magma.
 
== KinondoKimondo-nchi ==
[[Kimondo-nchi]] (ing. ''[[:en:meteorite|meteorite]]'') ni mwamba wa pekee mwenyewenye asili isiyo ya Dunia yetu. VomondoVimondo-nchi nyingivingi vimejitokeza katika [[anga-nje]] kutokana na mabaki ya mada ya [[nyota]] au pia kutokana na kuvunjika kwa [[sayari]] nyingine.
 
== Utamaduni ==
Mawe ya thamani kama [[almasi]] hutafutwa na watu kwa kuwa yapendeza.
 
{{mbegu-jiosayansi}}
 
[[Jamii:Jiolojia|!]]