Mashapo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Giswil06.JPG|300px|thumb|Mto wa mlimani husafirisha hata mawe makubwa katika mashapo yake.]]
[[Picha:Red sandstone, Hilbre Island.JPG|300px|thumb|Milia katika jiwe mchanga inaonyesha jinsi mashapo yalibakiyalivyobaki moja juu ya nyinginemengine katika mwendo wa miaka mamilioni ya miaka na kuwa mwamba mashapo baadaye.]]
'''Mashapo''' (ing.kwa [[Kiingereza]]: [[sediment]]) ni vipande vidogo vya [[mata]] thabiti vilivyovunjika na [[nguvu]] za [[maji]], [[barafu]], [[upepo]], kwa njia ya [[mmomonyoko]] na mabadiliko ya [[halijoto]], halafu kusafirishwa na maji, barafu, upepo au mvuto wa [[graviti]].
 
Vipande hivihivyo vilivyovunjika hutokea kama [[matope]], [[mchanga]] na [[Jiwe|mawe]]. Vikivyosafirishwa na maji ya [[mto]] vinabaki chini baadaye, wakati nguvu ya maji inapungua.
 
Hasa katika maeneo ya [[mafuriko]] ya kurudiakujirudia mashapo yaliyobaki hufunikwa tena na mashapo mapya ambayo kwa njia hiihiyo inawezayanaweza kujenga [[tabaka|matabaka]] manene ya [[ardhi]] au ya mawe. Katika [[muda]] wa [[milioni]] za miaka matabaka hayahayo ya mashapo yanaweza kubadilishwa kuwa [[mwamba mashapo]].
 
Mashapo ya matope matupu yanaweza kuunda ardhi nzuri ya [[Shamba|mashamba]], au [[udongo]] wa ufinyanzi[[mfinyanzi]] unaoweza kuedeleakuendelea kubadilika jiwe la [[grife]]. Mashapo ya [[mchanga]] husababisha kutokea kwa [[ufuko]] wa mchanga [[Bahari|baharini]], au matabaka ya mchanga yanayochimbwa kwa mahitaji ya [[ujenzi]]. ViyvoVivyo hivyo [[kokoto]] na mawe madogo ambayo mara kwa mara yanapatikana kwa wingi katika sehemu zilizokuwa zamani njia za mito.
 
==Marejeo==
Mstari 14:
*{{Citation |first=Gary |last=Nichols |title=Sedimentology & Stratigraphy |publisher=Wiley-Blackwell |location=Malden, MA |year=1999 |isbn=978-0-632-03578-6 }}
*{{Citation |first=H. G. |last=Reading |title=Sedimentary Environments: Processes, Facies and Stratigraphy |publisher=Blackwell Science |location=Cambridge, Massachusetts |year=1978 |isbn=978-0-632-03627-1 }}
{{mbegu-jio-sayansi}}
 
 
 
[[jamii:Mashapo|*]]