Mashapo : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
No edit summary |
||
Mstari 7:
Hasa katika maeneo ya [[mafuriko]] ya kujirudia mashapo yaliyobaki hufunikwa tena na mashapo mapya ambayo kwa njia hiyo yanaweza kujenga [[tabaka|matabaka]] manene ya [[ardhi]] au ya mawe. Katika [[muda]] wa [[milioni]] za miaka matabaka hayo ya mashapo yanaweza kubadilishwa kuwa [[mwamba mashapo]].
Mashapo ya matope matupu yanaweza kuunda ardhi nzuri ya [[Shamba|mashamba]], au [[udongo]] wa [[mfinyanzi]] unaoweza kuendelea kubadilika
==Marejeo==
|