Mapenzi ya jinsia moja : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 12:
'''Ushoga''' (kwa [[Kiingereza]]: “homosexuality”) ni mwelekeo wa kimapenzi unaokwenda tofauti na kawaida inayofanya [[mwanamume]] na [[mwanamke]] kupendana na kuzaliana katika [[familia]]. [[Jinsia]] hizo mbili zinalenga kukamilishana katika [[ndoa]]. Kadiri ya [[Biblia]] [[Mungu]] baada ya kumuumba [[Adamu]] alisema, “Si vema mtu awe peke yake. Nitamfanyia msaidizi wa kufanana naye” (Mwa 2:18). Umbile la [[mwanamume]] linaelekea kukamilishana na lile la [[mwanamke]] kiroho na kimwili. Lakini [[roho]] haionekani, hivyo ni rahisi zaidi kuona jinsi miili yao inavyofaa kuungana iwe [[mwili]] mmoja. Hata hivyo tuelewe mkamilishano huo unafanyika katika [[nafsi]] pia, ambazo zina [[vipawa]] tofauti vinavyowezesha kwa pamoja kukabili vizuri [[maisha]] ya nyumbani, ya [[uchumi]], ya [[siasa]], ya [[dini]] n.k.
 
Mwelekeo wa kimapenzi humaanisha muundo wa kudumu wa kimhemko, kimahaba, na/au mivuto ya kimapenzi kwa [[jinsia]] fulani. Mwelekeo wa kimapenzi kwa kawaida humfanya mtu kupenda jinsia tofauti na ya kwake (kuwa na mvuto kwa wahusika wa jinsia nyingine), jambo ambalo linawezesha [[uzazi]] kadiri ya [[maumbile]]. Hata hivyo kuna mashoga/wasagaji (mwanamume anayevutiwa na wanaume/mwanamke anayevutiwa na wanawake), na watu wanaopenda jinsia zote mbili (mwanamume au mwanamke anayevutiwa na jinsia zote mbili; kwa Kiingereza: “bisexual”), mbali na wale wasio na mwelekeo wowote wala kusikia mvuto wowote wa namna hiyo (kwa Kiingereza: “asexuals”). Mwelekeo ukifuatwa unageuka [[tabia]].
 
==Chanzo chake==
Vivutio vya msingi ambavyo huunda mwelekeo wa kimapenzi wa watu wazima kwa kawaida huibuka katikati ya [[utoto]] na [[ubalehe]]. Hakuna makubaliano kati ya [[wanasayansi]] juu ya sababu halisi ambazo humfanya mtu kuwa na mwelekeo wa kupenda jinsia ileile ya kwake au kupenda jinsia zote mbili badala ya jinsia tofauti tu kama ilivyo kawaida. Wengi wanafikiria [[asili]] ([[biolojia]]) pamoja na [[mazingira]] vinachangia. Lakini mara nyingine ni kwamba mtu ameathiriwa na tukio ambalo amefanyiwa hasa utotoni au amekubali mwenyewe kujaribu kufanya hata akazoea kiasi cha kushindwa kujinasua.
 
Kati ya wale ambao wakati wa kubalehe wanayumba kwa muda fulani katika kujitambua, wengi baadaye wanakomaa vizuri katika mwelekeo wa kawaida. Kumbe watetezi wa ushoga wanataka hao vijana wapewe dawa za kusimamisha ubalehe ili baadaye iwe rahisi kuwafanyia upasuaji wa kubadili vyungo vya uzazi. Ukweli ni kwamba suala si kila mtu kuamua awe wa jinsia gani, kama kwamba mwili hauna maana, bali kujitambua na kujikubali alivyo.
 
==Mwelekeo na utashi==
Line 25 ⟶ 27:
Wakati hili ni tatizo la kimataifa, hali ni mbaya hasa katika sehemu kubwa za [[Afrika]]. Kituo cha Utafiti cha Pew mnamo mwaka 2007 kiligundua kuwa 3[[%]] tu ya [[Watanzania]], [[Wakenya]], na [[Waganda]] wanaamini kuwa ushoga unapaswa kukubalika. Hivyo katika nchi zote wanachama wa [[Jumuiya ya Afrika Mashariki]] (EAC), isipokuwa [[Rwanda]], [[ngono]] ya jinsia moja huchukuliwa kuwa ni uhalifu na pengine [[adhabu]] yake ni kifungo cha muda mrefu. Matokeo yake, ni wachache tu walio wazi kuhusu mwelekeo wao wa kimapenzi, wakati wengi wanalazimishwa kuishi kwa usiri na uwongo, ili waendane na [[maadili]] yaliyokubalika katika jamii yao.
 
[[Chuki]] dhidi ya mashoga (kwa Kiingereza: “homophobia”) ina madhara makubwa kwa [[afya ya akili]] na ustawi wa watu walio mashoga, wasagaji na wapenda jinsia mbili, hasa ikiwa wanajaribu kuficha mwelekeo wao wa kimapenzi. Unyanyapaa na ukatili vinazidisha [[fadhaiko|mafadhaiko]] yaowaliyonayo yanayotokanatayari kutokana na kutambua tofauti iliyopo kati ya mwili wao na mwelekeo wao. HivyoMara haonyingi wanashindwa kukabili hali hiyo na kujikubali walivyo. Hivyo wako katika hatari ya kuingia [[ulevi]] wa aina mbalimbali [[kujiua]] kuliko wenzao wanaovutiwa na jinsia tofauti. Watu wanaotamani kuwasaidia wanaweza kufanya kazi na mashirika husika kuwapatia [[ushauri nasaha]] pamoja na kupambana na unyanyapaa.
 
Mashoga, wasagaji na wapenda jinsia mbili wanaotaka kupunguza unyanyapaa wanaweza kuwa wazi kuhusu mwelekeo wao wa kimapenzi, huku wakichukua tahadhari muhimu ili kuwa salama kadiri iwezekanavyo. Kuwaambia watu wengine kuwa wewe ni mpenzi wa jinsia moja au tofauti huitwa “kujitokeza”. Mara nyingi hiyo ni hatua muhimu ya [[Saikolojia|kisaikolojia]] kwa watu walio mashoga, wasagaji na wapenda jinsia mbili. Kati yao wanaohisi lazima wafiche mielekeo yao ya kimapenzi huripoti [[wasiwasi]] wa mara kwa mara kuliko mashoga na wasagaji ambao wako wazi. Japokuwa, unapaswa kujitokeza ikiwa unataka na uko tayari. Ingawa unatumaini kuwa marafiki na familia watakupokea, inawezekana kwamba hawatakubali. Ikiwa unategemea wazazi wako kifedha, unaweza kutaka kungojea. Inawezekana kwamba wanaweza kuguswa vibaya na kujaribu kukufukuza nyumbani, kukuweka kwenye ndoa ya jinsia tofauti au kwenye matibabu mabaya ya kiakili. Kama utajitokeza, ni vizuri kuanza kwa kumwambia mtu ambaye una uhakika kuwa atakuwa na mtazamo chanya. Kujitokeza kunaweza kuwa moja ya kazi ngumu sana utakayokabiliana nayo katika maisha yako, lakini pia inaweza kuwa moja ya kazi zenye tunu sana. Kujitokeza ni njia mojawapo ya kuthibitisha hadhi yako na hadhi ya watu wengine walio wasagaji, mashoga, na wapenda jinsia mbili.
Line 32 ⟶ 34:
Miongo mingi ya [[utafiti]] na uzoefu ya kitabibu imepelekea mashirika ya [[afya]] na ya afya ya akili kuthibitisha kuwa mielekeo hii si [[ugonjwa]]. [[Shirika la Afya Ulimwenguni]] (WHO) liliondoa ushoga kutoka kwenye orodha yake ya [[magonjwa ya akili]] mnamo [[1990]] na kwamba mapenzi ya jinsia moja si magonjwa na hivyo hayahitaji [[matibabu]]. Hadi leo, hakuna utafiti wa kutosha wa kisayansi kuonyesha kwamba [[tiba]] inayolenga kubadili mwelekeo wa mapenzi ya jinsia moja ni salama au inafaa. Kwa kuongezea, inaonekana kwamba uhamasishaji wa matibabu ya mabadiliko huchangia mazingira mabaya kwa mashoga, wasagaji na wapenda jinsia mbili.
 
Tafiti tofauti kote ulimwenguni zimegundua kuwa mtu 1 hadi 10 kati ya 100 wanavutiwa na watu wa jinsia yao. Ushoga umekuwepo katika jamii na [[tamaduni]] nyingi, na pia hutokea katika [[spishi]] 500 hivi za [[wanyama]].<ref name="ReferenceA">{{cite book | author = Bagemihl, Bruce | title = Biological Exuberance: Animal Homosexuality and Natural Diversity | publisher = St. Martin's Press | year = 1999 | isbn = 978-0-312-25377-6}}</ref><ref name="Biological Exuberance: Animal">{{cite web| last =Harrold | first =Max | title=Biological Exuberance: Animal Homosexuality and Natural Diversity | publisher=[[The Advocate]], reprinted in Highbeam Encyclopedia | date=1999-02-16 | url=http://www.encyclopedia.com/doc/1G1-53877996.html | accessdate = 2007-09-10}}</ref> Jambo hilo linatumiwa na watetezi wa ushoga kusema kwamba ni kawaida ya kimaumbile. Lakini wanaosema kuwa ushoga ni kinyume cha maumbile wanamaanisha maumbile ya binadamu yanayotakiwa kuongozwa na [[akili]] na [[utashi]], si [[silika]] tu kama ilivyo kwa [[viumbehai]] wengine wote. Kwa mfano, [[ubakaji]] unafanywa na wanyama mbalimbali, lakini kwa binadamu haufai kabisa. Moja ya dhihirisho la mapema zaidi ulimwenguni la ushoga kati ya watu ni [[Michoro ya miambani]] ya [[Wasan]] wa [[Zimbabwe]] ambayo inaonyesha mahusiano ya jinsia moja ambayo ni ya maelfu ya miaka iliyopita. Michoro hiyo na vilevile [[ushahidi]] mwingine wa kihistoria unaonyesha kuwa ushoga umekuwepo katika [[bara]] la Afrika katika historia yote, na si umeletwa na [[mataifa]] ya [[Magharibi]] kama inavyodaiwa.
 
Moja ya dhihirisho la mapema zaidi ulimwenguni la ushoga kati ya watu ni [[Michoro ya miambani]] ya [[Wasan]] wa [[Zimbabwe]] ambayo inaonyesha mahusiano ya jinsia moja ambayo ni ya maelfu ya miaka iliyopita. Michoro hiyo na vilevile [[ushahidi]] mwingine wa kihistoria unaonyesha kuwa ushoga umekuwepo katika [[bara]] la Afrika katika historia yote, na si umeletwa na [[mataifa]] ya [[Magharibi]] kama inavyodaiwa. Hata hivyo sasa [[ustaarabu wa Magharibi]] unahamasisha ushoga kwa mbinu zote katika kuhimiza mienendo yoyote ya [[anasa]] isiyo na [[uwajibikaji]] kwa jamii. Katika kuwatetea umefikia pengine hatua ya kuwafanya kielelezo cha [[maendeleo]] ambayo hatimaye yamejikomboa kutoka mitindo ya maisha ya zamani na tunu zake, kama vile familia, uzazi n.k. Kwa namna hiyo unabomoa misingi yenyewe ya maisha ya jamii. Pengine wenyewe wanatangaza mtindo wao kama ndio bora na kudharau hiyo mingine (k.mf. [[maandamano]] ya "Gay Pride").
 
==Misimamo ya dini==