Tianjin : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 17:
}}
 
'''Tianjin''' (kwa [[Kichina]]: 天津), ni [[mji]] mkubwa katika [[China]] [[kaskazini]].
 
[[Idadi]] ya wakazi ni 11,760,000 wanaoishi kwenye enoeneo la [[kilomita za mraba]] 11,917.
 
Mji huu ulianzishwa [[mwaka]] [[1403]] na [[kaisari]] [[Yongle]] [[kilomita]] 137 kutoka [[Beijing]] karibu na [[mdomo]] wa [[Mto Hai]] katika [[Bahari ya Bohai]].
 
Tasnia ya kisasa ya mitambo na [[nguo]] ya China ilianza hapa. Tangu mwanzo wa [[Sera ya Mlango Wazi]] mwaka [[1984]], Tianjin iliongezwa maeneo mengi ya [[viwanda]]. Tangu [[1994]] hadi [[2008]], kiwango cha [[pato la taifa]] cha Tianjin kiliongezeka [[asilimia]] 12.5% kwa [[wastani]] kila mwaka.
 
Tianjin ni pia mahali pa kuanzishwa kwa [[chuo kikuu]] cha kwanza nchini China kwenye mwaka [[1895]]. Mji huo una [[taasisi]] karibu zaidi ya [[elfu]] za kisayansi[[sayansi]] na kiteknolojia[[teknolojia]], pamoja na [[wataalamu]] zaidi ya elfu 600 katika [[fani]] tofauti. Inayo idadi kubwa ya wataalamwataalamu maarufu na wasomi.
 
==Viungo vya Nje==
{{Commons+cat|Tianjin|Tianjin}}
{{Wikivoyage}}
* [https://web.archive.org/web/20130921054614/http://www.tj.gov.cn/english/ Tianjin Government website]
Mstari 37:
* [https://www.youtube.com/watch?v=gKt1PodYyvE Official promotional video of Tianjin City]
 
{{mbegu-jio-China}}
 
 
[[Jamii:Miji ya China]]