Jangwa la Taklamakan : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Taklamakan_desert.jpg|thumb|300px| Jangwa la Taklamakan .]]
[[Picha:Tarimrivermap.png|300px|thumb|Ramani ya Taklamakan.]]
'''Jangwa la Taklamakan''' (pia: '''Taklimakan''' na '''Teklimakan''') ni [[jangwa]] kwenye [[kaskazini]] [[magharibi]] yamwa [[China]]. Ni sehemu katika [[kusini]] magharibi mwa [[Mkoa]] wa [[Xinjiang]]. Upande wa kusini iko [[Milima ya Kunlun]], upande wa magharibi na kaskazini [[Milima ya Pamir]] yana [[milima]] ya [[Tian Shan]].
 
==Oasisi==
Ni eneo [[yabisi]] sana na zamani wasafiri waliofuata [[Barabara ya hariri|Barabara ya Hariri]] walipaswa kuvuka [[jangwa]] hilo wakitumia [[oasisi|miji ya oasisi]] kwenye kusini au kaskazini ya jangwa iliyotumia [[maji]] chini ya [[ardhi]] yaliyoshuka kutoka milima. <ref>{{Cite book|url=https://books.google.com/books?id=1_41VGoCYU8C&pg=PA321&dq=Taklamakan+Desert&output=html|title=Spies Along the Silk Road|publisher=|access-date=2007-08-07}}</ref> Miji muhimu ya oasisi ilikuwa [[Kashgar]], Marin, Niya, Yarkand, na Khotan upande wa kusini, Kuqa na Turpan kaskazini, na Loulan na Dunhuang mashariki. <ref name="atlas">{{Cite web|url=http://www.ess.uci.edu/%7Eoliver/silk.html|title=The Silk Road|publisher=|accessdate=2007-08-07}}</ref> Siku hizi wakazi wa mjimiji hii ni hasa [[Wauiguri ]].
 
==Tabianchi==
Milima ya [[Himalaya]] inazuia [[mvua]] kutoka [[bahari]] kufika eneo la Taklamakan na hivyo kusababisha [[ukame]] wake. [[Hewa]] [[baridi]] kutoka [[Siberia]] kwenyeupande wa kaskazini inaweza kufika, kwa hiyo [[sentigredi]] [[°C]] -40 zimeshapimwa kwenye [[majira ya baridi]], lakini [[majira ya joto]] sentigredi za °C +40 inawezekanazinawezekana pia.
 
Mwaka [[2008]] Taklamakan yote ilifunikwa na [[tabaka]] la [[theluji]].<ref name = xinhuanetdesertsnow>{{cite news
|title=China's biggest desert Taklamakan experiences record snow
|publisher=Xinhuanet.com
Mstari 22:
== Marejeo ==
{{Reflist}}
{{mbegu-jio-China}}
 
[[Jamii:Jiografia ya China]]
[[jamii:Majangwa ya Asia]]