Nyanda za juu za Brazil : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
Created by translating the page "Brazilian Highlands" |
No edit summary |
||
Mstari 1:
[[Picha:Brasil bergland.jpg|300px|thumb|Ramani ya nynada za juu za Brazil]]
[[Picha:Arcoverde luftbild.jpg|300px|thumb|Mji mdogo wa Arcoverde katika nyanda za juu]]
'''Nyanda za juu za Brazil''' ( {{Lang-pt|Planalto Brasileiro}}) ni eneo kubwa katika mashariki, kusini na katikati ya [[Brazil]]. Eneo lake ni kama theluthi ya nchi yote na sehemu kubwa ya watu wa Brazil (190,755,799; ''sensa ya 2010'' ) wanaishi katika nyanda za juu au kwenye kanda nyembamba la pwani lililopo kati ya bahari na milima hii.
== Mgawanyiko mkubwa ==
Kwa sababu ya ukubwa na utofauti wao,
*
*
*
Sehemu ya juu zaidi ya Nyanda za juu za Brazil ni [[Pico da Bandeira]] huko Serra do Caparaó, inayofikia mita 2,891
[[Jamii:Jiografia ya Brazil]]
|