Fisi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 20:
[[Picha:Crocuta_macrodonta.JPG|thumbnail|Fuvu la kichwa la Crocuta macrodonta]]
 
'''Fisi''' ''(ing. hyena)'' huaminika kuwa walimpakakea miaka milioni 26 iliyopita kumpakaka huku wakiendelea kufanana mpaka na fisi wa sasa. Plioviverrops miongoni mwa fisi wa mwanzo, alikuwa kama wanyama walioishi nyakati za Eurasia miaka milioni 20 – 22 iliyopita. Maelezo kuhusu sikio lake la kati na mpangilio wa meno humfanya kuonekana kama fisi wa kale. Jenasi hii ilifanikiwa zaidi, sababu vizazi vyake vimeng’ara kwa taya zake zilizosimama na miguu yake ya mbio, hasa kama Canidae wa Amerika ya Kaskazini.
 
Miaka milioni 15 iliyopita, fisi afananaye na mbwa alijimpakakeza, na spishi karibu 30 kutambulika. Mpakafauti na vizazi vya siku hizi, fisi hawa hawakuwa mahiri sana katika kusaga mifupa, lakini hawa wa sasa nihodari zaidi na wapo kama mbwa mwitu. Hawa fisi jamii ya mbwa walikuwa na meno ya magego kama ya wale wa jamii ya canid, kuwawezesha kula chakula cha mimea na wanyama.