Tofauti kati ya marekesbisho "22 Julai"

302 bytes added ,  mwaka 1 uliopita
 
==Sikukuu==
*[[Wanahisabati]] kadhaa [[duniani]] husherehekea [[sikukuu ya Π]] (tamka: pi) kwa sababu tarehe hii inaweza kuandikwa pia kama 22/7 ambayo ni chamkano cha karibu na namba '''[[Π]]'''.
*[[Wakristo]] wengi, wakifuata [[mapokeo ya Roma]], huadhimisha [[sikukuu]] ya [[mtakatifu]] [[Maria Magdalena]], lakini pia [[kumbukumbu]] za watakatifu [[Plato wa Ankara]], [[Wafiadini wa Masula]], [[Sirili wa Antiokia]], [[Anastasi wa Kaukazi]], [[Vandegresili]], [[Menelei wa Menat]], [[Filipo Evans]], [[Yohane Lloyd]], [[Anna Wang]], [[Lusia Wang Wangzhi]], [[Andrea Wang Tianqing]], [[Maria Wang Lizhi]] n.k.
 
==Viungo vya nje==