Zahanati : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Discount Medical Marijuana - 2.jpg|thumb|Zahanati]]
'''Zahanati''' (kutoka [[neno]] la [[Kiarabu]]; pia '''dispensari''' kutoka neno la [[Kiingereza]] ''dispensary'' lenye [[asili]] ya [[Kilatini]] ''dispensaria'' yaani ''mahali pa ugawaji'' wa dawa<ref name="MWU">{{Citation |author=Merriam-Webster |authorlink=Merriam-Webster |title=Merriam-Webster's Unabridged Dictionary |publisher=Merriam-Webster |url=http://unabridged.merriam-webster.com/unabridged/ |postscript=.}}</ref>) ni mahali ambapo [[huduma]] za [[tiba]] hutolewa kwa [[magonjwa]] yasiyo makubwa, lakini pia [[chanjo]], [[uzazi wa mpango]] n.k.
Kwa upande wa mazingara Zahanati inaweza kupatikana [[Shule|Mashuleni]], [[Kiwanda|Viwandani]] na hata kwenye [[Taasisi]]mbali mbali zenye uhitaji wa huduma hiyo pindi tuu ihitajikapo. Vile vile huduma nyingine zitolewazo kwenye Zahanati ni pamoja na [[Huduma ya kwanza]].