Mwanamke : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Tags: Mobile edit Mobile web edit
Mstari 1:
SIFA ZA WASICHANA WANAOSOMA VETA:
[[File:Lactancia bebe aire libre.jpg|thumb|Mama akimnyonyesha mwanae.]]
1.huvaa T-shirt moja kwa week bila kuifua
[[File:Paula Khan.jpg|thumb|Mwanamke [[mwanabiolojia]] akimpima [[kobe]] wa [[Jangwa|jangwani]] kabla hajamuachilia.]]
2.mara nyingi hutoka jasho kwapani
[[Image:Weaving profile.jpg|thumb|left|Mwanamke akifanya [[kazi]] maalumu ya jinsia yake kadiri ya [[utamaduni]] wa sehemu nyingi.]]
3.hawajijali (hawajipendi)
[[Image:Sky spectral karyotype.png|right|thumb|[[Spectral karyotype]] ya mwanamke.]]
4.huvaa nguo za ndani kwa siku tatu bila kubadilisha
[[Picha:Pose.jpg|250px|thumb|right|Vitambulisho vikuu vya kijinsia vya mwanamke.]]
5.nauli ya daladala hulazimisha kulipa 200 kama wanafunzi (wanakaa Seat za wanafunzi)
[[Image:Scheme female reproductive system-en.svg|thumb|right|Mfumo wa [[viungo vya uzazi]] wa mwanamke.]]
6.hawako romantic kwenye mapenzi
'''Mwanamke''' ni [[mwanadamu]] wa [[jinsia]] ya kike, kwa maana anafaa kuwa [[mke]]. Ndiyo sababu kwa kawaida anaitwa hivyo aliyefikia [[utu uzima]] au walau ame[[kubalehe|balehe]].
7.wana matiti makubwa
 
Kabla ya hapo huwa anaitwa [[mtoto]] wa kike, binti, mwanamwali au [[msichana]].
 
Baada ya kuzaa anaitwa kwa kawaida [[mama]], [[jina]] lenye [[heshima]] kubwa katika [[utamaduni]] wa aina nyingi.
 
Akianza kupata [[mjukuu|wajukuu]], anajulikana pia kama [[bibi]].
 
Wanawake ni takriban [[nusu]] ya binadamu wote, wengine huwa [[wanaume]]. Ndizo jinsia mbili ambazo zinahesabiwa kwa kawaida kati ya binadamu.
 
Mwanamke ana [[tabia]] zake za pekee upande wa [[mwili]], [[nafsi]] na [[roho]], na tofauti kati yao na [[wanaume]] hujitokeza kwa namna mbalimbali katika [[utendaji]].
 
Katika maumbile ya [[mwili]] wanawake huwa na [[viungo vya uzazi]] vya kike ambavyo ni vya pekee na kulindwa kwa jumla ndani ya mwili.
 
Msingi wa tofauti hizo ni hasa [[chembeuzi]] cha jinsia, yaani wanaume wana [[jozi]] la [[chembeuzi X|chembeuzi "X"]] na [[Chembeuzi Y|"Y"]] ndani ya [[seli]] zao zote, lakini wanawake wana jozi la "X" mbili. Chembeuzi Y inabeba habari zote zinazomfanya mwanadamu kukua kama mwanaume badala ya mwanamke.
 
Lakini si tofauti za mwilini pekee zinazosababisha wanawake kuwa tofauti na wanaume. Kuna pia tabia za kiakili na za kiroho za pekee zinazoonekana wazi kati ya wanawake wengi.
 
Hata hivyo tofauti nyingi zinategemea pia [[utamaduni]] kwa sababu mara nyingi watu wamepanga [[shughuli]] na pia namna ya [[maisha]] tofauti kwa wanaume na wanawake, hivyo watu wamezoea kuchukua ma[[tokeo]] ya mapatano hayo kama jambo la kimaumbile hata kama ni la kiutamaduni tu.
 
Pamoja na hayo, kuna wanawake wenye tabia zinazotazamiwa kuwa za kiume. Sababu kuu ni kwamba miili yao huwa na viwango vya homoni tofauti na kawaida. Kuna watu kadhaa wenye mwili wa kike wanaojisikia kuwa wanaume, pengine kutokana na matukio ya utotoni au athari nyingine za [[Saikolojia|kisaikolojia]].
 
== Tazama pia ==