Content deleted Content added
→‎MAMBO YANGU: mjadala mpya
Mstari 23:
nikutakie ujenzi mwema wa jamii yako.
asante!
 
 
==[[Watu wazima]]==
HAbari, naona makala hii. TAfadhali ukumbuke makala za wikipedia si vyanzo au marejeo yanayokubalika. Hakuna tatizo ukichukua habari zako pale enwiki pamoja na marejeo yanayotajwa pale. Lakini hatuwezi kutaja makala ya wikipedia kama chanzo. '''[[Mtumiaji:Kipala|Kipala]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Kipala|majadiliano]])''' 06:52, 7 Desemba 2019 (UTC)