Ujana : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Holder (majadiliano | michango)
d corr using AWB
No edit summary
Mstari 2:
'''Ujana''' ni kipindi cha [[maisha]] kati ya [[utoto]] na [[utu uzima]].<ref> (2004) ''Union's New World College Dictionary, Fourth Edition.'' </ref><ref> Konopka, G. (1973) "Mahitaji ya Adolescent Healthy Maendeleo ya Vijana," ''Vijana.'' ''VIII'' (31), s. 2.</ref>
 
Unaelezwa kama kipindi cha [[ustawi]] wa [[mwili]] na wa [[nafsi]] tangu mwanzo wa [[ubalehe]] kwa [[ukomavu]] hadi mwanzoni mamwa utu uzima.
 
==Mipaka ya umri==
[[Ufafanuzi]] wa [[umri]] maalumu wa ujana hutofautiana. Ukomavu wa mtu binafsi huenda unakosa kuwa sawa na umri wao, kwani watu wasiokomaa hupatikana kwa umri wowote.
 
Umri ambao mtu anahesabiwa ni "kijana", na huduma maalumu chini ya [[sheria]] na katika [[jamii]] unatofautiana [[duniani]] kote.
Mstari 17:
 
==Takwimu==
Vijana karibu wote [[duniani]] wanaishi katika [[nchi zinazoendelea]]: kadiri ya [[UM]], kwa sasa ni 85[[%]] wa watu wenye umri kati ya miaka [[15]] na [[24]], lakini watafikia 89.5% mwaka [[2025]].
 
==Uwajibikaji wa vijana==
Kila kijana ana [[wajibu]] wa kufanya [[kazi]] kwa [[bidii]] ili [[maendeleo]] ya nchi yake yaweze kwenda sawa, kwani kwa kufanya kazi anaepuka zaidi [[mmomonyoko wa maadili]] uliokithiri kwa vijana, hasa kuiga mambo ya kigeni yasiyo na manufaa kwao na kwa [[taifa]] kwa ujumla.
 
==Marejeo==
Mstari 27:
==Viungo vya nje==
{{Commons category|Youth}}
{{mbegu-sheria}}
 
[[Category:Umri]]
[[Jamii:Sheria]]