Uainishaji wa kisayansi : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary Tags: Hariri ya simu Hariri ya wavuti ya rununu |
d Masahihisho aliyefanya 41.222.179.172 (Majadiliano) yalirejeshwa hadi sahihisho la mwisho na Kipala Tag: Rollback |
||
Mstari 1:
[[Picha:Uainishaji.png|right|thumb|150px|Ngazi za uainishaji katika biolojia; ngazi ndogo za kati hazionyeshwi.]]
'''Uainishaji wa kisayansi''' ([[ing.]] ''[[:simple:biological classification|biological classification]], [[:en:taxonomy (biology)|taxonomy]]'') ni jinsi [[wataalamu]] wa [[biolojia]] wanavyopanga [[viumbehai]] kama [[mimea]] na [[wanyama]] kwa vikundi kwenye ngazi mbalimbali. Inaweza kuitwa pia '''taksonomia'''.
Tangu muda mrefu watu walitambua ya kwamba wanyama au mimea mbalimbali wanafanana kati yao kwa namna moja au nyingine. Wataalamu walijaribu kupanga aina hizo kwa vikundi vyenye tabia za pamoja. [[Carolus Linnaeus]] alianza kuzipanga kwa muundo ulioeleweka kulingana na tabia za [[maumbile]] yao.
Mfumo wa Linnaeus uliendelezwa baadaye kulingana na [[nadharia]] ya [[Charles Darwin]] inayoona ya kwamba [[spishi]] mbalimbali huwa na [[chanzo]] cha pamoja, kwa hiyo inawezekana kupanga [[uhai]] wote kama [[mti]] yenye [[tawi|matawi]] makubwa, tena madogo yanayotoka kwenye makubwa.
[[Ujuzi]] wa kisasa kutokana na [[utafiti]] wa [[DNA]] ndani ya [[seli]] za viumbehai unaendelea kuongeza ujuzi wetu kwa hiyo katika mengi uainishaji ni utaalamu unaozidi kubadilika.
== Majina ya Kisayansi ==
|