Elton John : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 63 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q2808 (translate me)
No edit summary
Mstari 17:
}}
 
'''Sir Elton Hercules John''' (jina la kuzaliwa: '''Reginald Kenneth Dwight''' tar. [[25 Machi]] [[1947]]) ni mwimabjimwimbaji wa muziki wa pop- rock, mtunzi na mpigaji kinanda kutoka nchni [[Uingereza]]. Alianza kuwa maarufu kunako miaka ya [[1970]] hivi, pale yeye na mtunzi mwingine wa nyimbo ajulikanae kwa jina la Bernie Taupin kuandika nyimbo nyingi walizokuwa wakiimba katika maukumbi mbalimbali na hata zingine kuzikurekodi.
 
John ameanza kuwa nyota aliye-maarufu, sio kwa uwezo wake tu wa kimuziki tu, bali hata akiwa ukumbini huwa na yeye anaruka majoka (kucheza). John pia alitunga nyimbo nyingi kwa ajili ya filamu, filamu hizo ni kama vile ya The Lion King (1994) na The Road to El Dorado (2000) na pia huwa anafanya kazi za kujitolea.