Buganivilia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 14:
| bingwa_wa_jenasi = [[Philibert Commerson|Comm.]] ex. [[Antoine Laurent de Jussieu|Juss.]]
}}
'''''Buganivilia''''' ni [[jenasi]] ya [[mmea|mimea]] inayotoa [[ua|maua]] yenye [[asili]] yake katika [[Bara la Amerika ya Kusini]] kuanzia [[Brazili]] na kusonga [[magharibi]] kuelekea [[Peru]] na [[kusini]] hadi [[Argentina]] kusini (Mkoa wa Chubut). Mimea hii ina maua meupe madogo. Sehemu za mimea zenye rangi kali si maua ya kweli lakini aina ya [[jani|majani]] maalum yanayoitwa [[braktea]]. Yanahami maua.
 
Waandishi tofauti wanakubali kuwa kuna kati ya spishi 4 na 18 katika jenasi hii. Mimea hii iligunduliwa nchini [[Brazili]] mnamo mwaka wa 1768 na Philibert Commerçon, msomi wa mimea kutoka nchi ya [[Ufaransa]] alipokuwa akimwandama mkuu wa Jeshi la Wanamaji la Kifaransa na [[mpelelezi]] [[Louis Antoine de Bougainville]] wakati wa safari yake ya kuizunguka [[dunia]].
 
==Picha==
Mstari 32:
</gallery>
 
== ExternalViungo linksvya nje ==
* [http://www.ars-grin.gov/cgi-bin/npgs/html/splist.pl?1617 Germplasm Resources Information Network: ''Bougainvillea'']
* [http://www.dmoz.org/Shopping/Home_and_Garden/Plants/Tropicals_and_Exotics/ Tropicals and Exotics: ''Bougainvillea in Open Directory Project'']
{{mbegu-mmea}}
 
[[Jamii:Fungu na jamaa]]