Dunia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Holder (majadiliano | michango)
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Blue Marble rotating 1024x1024.ogg|thumbnail|260px|Dunia yetu <small>(bofya pembetatu)</small>]]
[[Picha:Earth's Axis (small).gif|thumbnail|Dunia jinsi inavyozunguka kwenye mstari wa mhimili wake]]
'''Dunia''' (kutoka [[neno]] la [[Kiarabu]] <big>دنيا</big> ; wakati mwingine pia: '''ardhi''' na kwa neno asili la [[Kibantu]] '''nchi''') ni [[gimba la angani]] ambapo juu yake tunaishi sisi [[binadamu]] na [[viumbehai]] wengine wengi, tukipata mahitaji yetu, kuanzia [[hewa]] ya kutufaa na [[maji]].
 
Dunia ni mojawapo ya [[sayari]] nane zinazozunguka [[Jua]] letu katika [[anga-nje]]. Kati ya sayari za [[mfumo wa Jua]], Dunia yetu ni sayari ya tatu kutoka kwa Jua.