Argentina : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
No edit summary |
||
Mstari 54:
[[Picha:Ar-map.png|thumb|left|Ramani ya Argentina]]
[[Picha:ViñedoCafayate.jpg|thumb|left|Salta]]
'''Argentina''' ni nchi kubwa ya pili ya [[Amerika Kusini]]. Ina eneo la [[km²]] 2,780,400 kati ya [[milima]] ya [[Andes]] upande wa [[magharibi]] na [[Bahari ya Atlantiki]] upande wa [[mashariki]].
Imepakana na [[Paraguay]], [[Bolivia]], [[Brazil]], [[Uruguay]] na [[Chile]].
Mstari 62:
==Watu==
[[File:Pape-françois-en-Papamobile-en-Corée.jpg|thumb|right|200px|[[Papa Fransisko]], [[Papa]] wa kwanza kutoka [[Amerika]], alitokea Argentina.]]
Wakazi wengi (97[[%]]) wana [[asili]] ya [[Ulaya]] na [[Mashariki ya Kati]], hasa [[Italia]] (55%) na [[Hispania]].
[[Lugha]] yao ya kawaida ni [[Kihispania]] na [[dini rasmi]] ni [[Ukristo]] wa [[Kanisa Katoliki]] (76.5%). [[Asilimia]] 9 ni [[Waprotestanti]].
== Miji==
[[Miji]] mikubwa
* [[Buenos Aires]], ambao ndio [[mji mkuu]]
* [[Córdoba, Argentina|Córdoba]]
Mstari 84:
{{commons}}
* {{es}} {{en}} {{pt}} [http://www.argentina.gov.ar/ Tovuti rasmi]
{{Amerika Kusini}}
{{mbegu-jio-AmerikaKusini}}
|