Josef Stalin : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
Joseph Stalin alikuwa na wake wawili kwa vipindi tofauti ,Mke wa kwanza aliitwa Ekaterine Svanidize(1906-1907),na wa Mke wa pili aliitwa Nadezhda Alliluyeva(1919-1932) na pia alikuwa na watoto watatu walioitwa Yakov Dzhugashvilli,Vasily Dzhugashvilli na Svetlana Alliluyeva . Jina la utani la Joseph Stalin lilikuwa ni 'Koba' Tags: Mobile edit Mobile web edit |
No edit summary |
||
Mstari 1:
[[Picha:JStalin Secretary general CCCP 1942.jpg|thumb|right|Josef Stalin mwaka 1942.]]
'''
Alitawala Urusi kama [[dikteta]] kwa unyama na kusababisha vifo vya [[Milioni|mamilioni]] ya [[watu]]. Alifaulu kujenga [[uchumi]] na [[jeshi]] la [[Umoja wa Kisovyeti]] na kutetea nchi dhidi ya mashambulio ya [[Ujerumani]] wakati wa [[Vita Kuu ya Pili ya Dunia]]. Alikuwa kati ya washindi wa Vita Kuu ya Pili
Stalin alikubaliwa kama kiongozi wa nchi zote za kikomunisti pamoja na [[China]], [[Vietnam]] na [[Korea ya Kaskazini]] hadi kifo chake.
Alifuatwa na [[Nikita Krushchov]] kama kiongozi wa [[chama]] na Umoja wa Kisovyeti.
Joseph Stalin alikuwa na wake wawili kwa vipindi tofauti: mke wa kwanza aliitwa Ekaterine Svanidize (1906-1907), na wa pili aliitwa Nadezhda Alliluyeva (1919-1932). Pia alikuwa na [[watoto]] watatu walioitwa Yakov Dzhugashvilli, Vasily Dzhugashvilli na Svetlana Alliluyeva.
[[Jina la utani]] la Joseph Stalin lilikuwa ni 'Koba'.
{{mbegu-mwanasiasa}}
{{DEFAULTSORT:Stalin, Josef}}
[[Jamii:Wanasiasa wa Urusi]]▼
[[Jamii:Watu wa Georgia]]▼
[[Jamii:Waliozaliwa 1878]]
[[Jamii:Waliofariki 1953]]
▲[[Jamii:Wanasiasa wa Urusi]]
|