Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika '<big>'''Mipango Miji katika Kambodia'''</big> '''Muhtasari/Utanguilizi''' Mipango miji katika Asia ya Kusini Mashariki inajulikana duniani. Kambodia inajulik...'
 
Removing Angkor_Wat_Plan.png, it has been deleted from Commons by Racconish because: Missing essential information such as license, permission or source
Mstari 13:
Wafalme watatu maarufu kutoka historia ya mipango miji katika Kamboja ni muhimu kwasababu wao walikuwa na athari ya kushawishi. Mmojawapo wa wafalme maarufu wa kwanza katika historia ya Kambodia jina lake ni Jayavarman wa pili. Yeye anajulikana kama mwanzilishi wa utawala wa Khmer kutoka mwaka 802 hadi mwaka 834. Wakati wa utawala wake, Jayavarman wa pili alianza utawala wa kifalme wa dunia sawa na dini ya kihindu<ref>Hays, Jeffrey. “Khmer Dynasty and the Rulers of Angkor.” Southeast Asia, May 2014. Accessed 9 Apr. 2019</ref>. Mafanikio ya Jayavarman wa pili yalisukumwa na utamaduni wa India.
 
Mfalme wa pili maarufu jina lake ni Suryavarman wa pili (Picha 1).[[File:Photo at Angkor Wat.png|thumb|Picha 1: Picha hii inaonesha mfalme Surayavarman wa pili katika hekalu la Angkor Wat kutoka tarehe tatu mwezi Januari mwaka 2019.]] Yeye alitawala kutoka mwaka 1113 mpaka mwaka 1150. Alijulikana kwa kupanua wilaya katika Kambodia na aliunda uhusiano wa kidiplomasia pamoja na nchi jirani kama vile, China, Vietnam, Myanmar, Thailand na Malaysia. Pia Suryavarman wa pili alijulikana kwa ujenzi wa hekalu jina lake Angkor Wat (Picha 2).[[File:Angkor Wat Plan.png|thumb|Picha 2: Picha ya kushoto inaonesha muundo wa kati wa Angkor Wat. Picha ya kulia inaonesha muundo wa kawaida wa Angkor Wat.]] Angkor Wat ilijengwa kama heshima kwa Vishnu na iliunda mji mkuu. Huu ulikuwa mwanzo wa mipango miji na serikali na mifumo ya maji katika Kambodia. Angkor Wat ni muhimu kwa usanifu majengo, kidini, na utamaduni kwa kipindi hiki<ref>World Heritage Convention. “Angkor.” United Nations Educational, Scientific and Cultural
Organization (UNESCO). Accessed Apr. 2019.</ref>. Sanaa iliyotengenezwa kwenye Angkor Wat inaonyesha historia ya nchi, ufalme, na dini. Mfalme wa tatu maarufu jina lake ni Jayavarman wa saba. Yeye alijulikana kwa ujenzi wa Bayon na Angkor Thom. Hekalu hili liliunda usawa na mfumo wa utetezi katika Bayon. Bayon ilichongwa kwa sura za nyuso kwenye hekalu (Picha 3).[[File:Photo at Bayon.png|thumb|Picha 3: Picha hii inaonesha mfalme Jayavarman wa saba kutoka tarehe sita mwezi Januari mwaka 2019.]]