Mwezi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 39:
[[Picha:Earth Moon Scale.jpg|thumb|center|800px|Picha inayoonyesha umbali baina ya Dunia na Mwezi kulingana na ukubwa wake. Umbali wa wastani baina ya Mwezi na Dunia ni [[kilomita]] 384,400. Kipenyo cha Mwezi ni takriban robo moja ya kipenyo cha dunia. <ref name="umbali_mwezi_dunia" />.]]
 
 
{{Wikinyota}}
 
== Mwezi kama kipimo cha wakati ==
Line 52 ⟶ 50:
Awamu za mwezi zilikuwa vipindi vya kuhesabu wakati tangu mwanzo wa kalenda. Hadi leo kuna [[kalenda ya mwezi]] ambayo ni [[kalenda ya Kiislamu]]. Inapanga wakati kutokana na hali halisi ya awamu za mwezi.
 
 
{{Wikinyota}}
 
== Safari kwenda mwezini ==
Line 59 ⟶ 55:
Mwezi wetu ni [[gimba la angani]] la kwanza ambako wanadamu wamefika. Tarehe [[21 Julai]] [[1969]] [[mwanaanga]] [[Mmarekani]] [[Neil Armstrong]] alikuwa mtu wa kwanza wa kukanyaga uso wa mwezi. Wanaanga wengine 11 kutoka Marekani waliendelea kufika mwezini hadi mwaka 1972.Baadaye safari za kwenda mwezini hazikufanywa tena kutokana na gharama kubwa.
 
 
{{Wikinyota}}
 
== Mwezi mali ya watu? ==
Line 67 ⟶ 61:
Lakini kuna watu binafsi wanaodai kuwa na mali kwenye Mwezi. Tangu mwaka 1980 yupo Mwamerika mmoja aliyefaulu kuandikisha Mwezi kwa jina lake kwenye ofisi ya msajili wa viwanda [[Mji|mjini]] [[San Francisco]] akiendelea kuuza hati za kumiliki maeneo mwezini. Kuna pia familia moja pale Ujerumani iliyorithi hati ambako mfalme wa Prussia kwenye mwaka 1756 alitoa zawadi ya Mwezi kwa mzee wao. Taasisi ya Sheria ya Anga-Nje ''(International Institute of Space Law)'' ilitoa tamko kuwa madai haya hayana msingi wa kisheria <ref>[http://www.iislweb.org/docs/IISL_Outer_Space_Treaty_Statement.pdf Statement by the Board of Directors of the International Institute of Space Law (IISL) on Claims to Property Rights Regarding the Moon and Other Celestial Bodies], International Institute of Space Law. 2004</ref>.
 
{{Wikinyota}}
 
== Vyanzo ==