Amoni Abati : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
[[image:Sant Amon CauFerrat Escriptori mallorca sXVII(1) 3876 - Copy.jpg|thumb|Mt. Amoni.]]
'''Amoni Abati''' (pia: '''Amoni Mkuu''', '''Amun''', '''Ammonas''' au '''Ammonius Mkaapweke'''; ([[Mariotis]], [[295]] - [[Scetes]], [[357]]) alikuwa [[mmonaki]] wa [[karne ya 4]] aliyeanzisha [[Kellia]], [[moja]] kati ya [[monasteri]] maarufu zaidi za [[Misri]] na labda ya kwanza kabisa.<ref name="DGRBM">{{cite encyclopedia | last = Christie | first = Albany James | authorlink = Albany James Christie | title = Ammonas | editor = [[William Smith (lexicographer)|William Smith]] | encyclopedia = [[Dictionary of Greek and Roman Biography and Mythology]] | volume = 1 | pages = 145 | publisher = [[Little, Brown and Company]] | location = Boston | year = 1867 | url = http://www.ancientlibrary.com/smith-bio/0154.html}}</ref>
 
Alikuwa kati ya [[mababu wa jangwani]] walioheshimika zaidi na alitajwa na [[Atanasi]] katika [[kitabu]] chake juu ya [[maisha]] ya [[Antoni Abati|Antoni]]